cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,774 Reaction score 5,312 Jul 10, 2017 #101 benley said: Nahitaj cm ya 80k. Mwenye nayo anichek fasta kwenye 0653205817 Click to expand... Wewe iyo simu umeshapata????
benley said: Nahitaj cm ya 80k. Mwenye nayo anichek fasta kwenye 0653205817 Click to expand... Wewe iyo simu umeshapata????
C CHENO Senior Member Joined May 10, 2011 Posts 153 Reaction score 128 Jul 10, 2017 #102 Iphose 5s used 300k
B baba glory JF-Expert Member Joined Jan 22, 2016 Posts 292 Reaction score 213 Jul 12, 2017 #103 Webb said: Wakuu Nina shida na smartphone kali isiwe Tecno Dau langu 150000/= Click to expand... Webb hapo ongezea tshs.15000 then utapata TECNO W3 LTE ni simu nzuri tu mie naitumia mwaka sasa Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Webb said: Wakuu Nina shida na smartphone kali isiwe Tecno Dau langu 150000/= Click to expand... Webb hapo ongezea tshs.15000 then utapata TECNO W3 LTE ni simu nzuri tu mie naitumia mwaka sasa Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,747 Jul 13, 2017 #104 Ninauzaa samsung galaxy s6 edge imeanguka ina cracks kwenye display ila touch yake bado inafanya kazi vizuri tu
Ninauzaa samsung galaxy s6 edge imeanguka ina cracks kwenye display ila touch yake bado inafanya kazi vizuri tu
ndumbo jr Member Joined Jul 4, 2017 Posts 74 Reaction score 31 Jul 13, 2017 #105 elmagnifico said: Ninauzaa samsung galaxy s6 edge imeanguka ina cracks kwenye display ila touch yake bado inafanya kazi vizuri tu Click to expand... Unataka bei gan iyo edge mkuu
elmagnifico said: Ninauzaa samsung galaxy s6 edge imeanguka ina cracks kwenye display ila touch yake bado inafanya kazi vizuri tu Click to expand... Unataka bei gan iyo edge mkuu
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Jul 13, 2017 #106 Huawei y6 nzuri Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
J627204 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 268 Reaction score 99 Jul 13, 2017 #107 CHENO said: Iphose 5s used 300k Click to expand... Bei gani Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
CHENO said: Iphose 5s used 300k Click to expand... Bei gani Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
siad bare Senior Member Joined Jul 13, 2017 Posts 123 Reaction score 92 Jul 14, 2017 #108 Nina L8 tshs 160,000/=ni pm Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Jul 14, 2017 #109 Webb said: Wakuu Nina shida na smartphone kali isiwe Tecno Dau langu 150000/= Click to expand... Kichwa cha habari kinasema unahitaji mtu anayeuza tecno na sio tecno yenyewe
Webb said: Wakuu Nina shida na smartphone kali isiwe Tecno Dau langu 150000/= Click to expand... Kichwa cha habari kinasema unahitaji mtu anayeuza tecno na sio tecno yenyewe