Hahahaha kweli kiswahili ni kibantu.Unahitaji smartphone au unahitaji mtu??
kula 200k kama ina 32gb nakueendeleaLete 250 nikuuzie IPhone 5 ! Tumia simu za kijanja wew ! Ni PM Kama unaitaji
Sim mpya nnazo mm na hazijawahi tumika kbsaJF buana. Mtu anasema anauza simu Mpya! Na kila kitu na box lake. Halafu ukiuliza anasema imetumika mwezi mmoja.
Members humu wanahitaji seminar wafundishwe maana ya MPYA na USED na USED BUT IN GOOD CONDITIONSim mpya nnazo mm na hazijawahi tumika kbsa
Ova
Mpya maana yake ni ambayo Tangu inunuliwe haijawahi tumika mkuu....Members humu wanahitaji seminar wafundishwe maana ya MPYA na USED na USED BUT IN GOOD CONDITION
Naitaka mkuuKweli magu kabana, hii smartphone enzi za msoga empire isingeuzwa chini ya 450k macho makavu!
Bei gani. Weka picTecno L8 inauzwaaa