Nahitaji mtu anayeuza smartphone

Attachments

  • IMG-20170301-WA0012.jpg
    37.9 KB · Views: 53
  • IMG-20170301-WA0011.jpg
    53.1 KB · Views: 56
Nauza friji aina ya bos bado mpya silva ya kung'aa bei laki 450 maelewano yapo
 
Ipo galaxy S7 used like brand new..yani ukiiona utasema mpya! 900k tu.
Original, ina 2yrs warranty kutoka Samsung.
 
Ongeza hela nikupatie Inifinix note3 Simu yenye uwezo mkubwa wa kukaa na chaji, cha ziada zaidi hii simu ina screen recod, mfano: unaweza angalia video huku inakodi, badala ya kutumia kifushi kuidowmrd upya unaweza ingia program yeyote huku unarikodi.
 
Mkuu ungesema kabisa bei kwani wahitaji tupo wengi.
 
Nina techno f7( phatom a+) nauza kwa tshs 230000/= nipo arusha mjini ila kioo kina cracks lakini touch ipo vema tuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…