Nahitaji mtoto, nifanyeje?

Nahitaji mtoto, nifanyeje?

Meridah Tough

Senior Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
136
Reaction score
365
Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
 
Meridah Tough Ushamaliza Chuo? Njoo PM....
 
Pole sana.
Mimi nakushauri wote wawili mpate ushauri na vipimo toka kwa madaktari husika. Baada ya vipimo mtashauriwa ni nini cha kufanya.
Pombe na sigara yaweza pia kuwa sabau, lakini majibu ya daktari ndiyo yanayoweza kudhibitisha hilo zaidi.

Uwe makini, watajitokeza watu kukuambia mume wako anatatizo hivyo tafuta mtu mwingine uzae naye, pia utaelekezwa kwa waganga wa kienyeji, ambao pia watahitaji wafanye ngono na wewe ili upate mtoto.

- KUWA MAKINI - Mungu ndiye anayejalia watu kuwa na watoto, nenda kwenye maombi.
 
Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Pole jaribu tena hospitali tofauti na pia kwenye hospitali za mitishamba(herbal clinics) unaweza ukapata suluhu, ikishindikana huko angalia upande wa pili uwezi jua labda kuna mambo hayaendi sawa husda na vijicho pia wanadamu sio wema.
 
Kuna ke mmoja aliolewa mara 3 kwa wanaume tofauti na kisa cha kumuacha ilikuwa kutopata mtoto.
Ila 2018 akapata mtoto kwa mwanaume wa 4.

Usifiche tatizo lako.
 
kuna stail za kushandong' ukizitumia huwezi pata mimba ng'o!!!
 
Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Nipe mawasiliano yako nitakuelekeza utasaidiwa tatizo lako
 
Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Nitumie namba yako PM kama bado unatatizo ni uhakika kuna ndugu yangu kapona kazaa tatzo lilikuwa kama lako ila tiba ya asiri nitumie namba yako PM
 
Tumia kifo cha Mende...Style ya uhakika sana kama ukishindwa ntafute nitakusaidia ila uwe na kifua.
 
Back
Top Bottom