Nahitaji mtabe wa kunifundisha table teaching quickbook,tally na excel .

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,090
Reaction score
4,061
Sina mambo mengi ni hayo tu.nahitaji mtu wa kunipigia hizo accounting packages .kuhusu malipo tutapozana kiuwana.
Info zaidi pm
Shukran.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Excel naweza kukupiga,ila niandalae 200,000/= ya mboga
 
You tube inaweza kuwa msaada kwako kuliko unavyofikiria .
 
Mie excel nakufundisha bure kabisa maana ni kuendelea kukumbushia ujuzi wangu.
 
Mkuu hiyo excel ni easy komaa nayo tu mwenyewe utatoboa,nina pdf files 3 za excel ukihitaji material niko tayari kukusaidia, ziko na illustrations za kila hatua.
Naomba unitumie pm nataka sana kuwa mtabe wa excel

Basic zote nazijua
 
Habar, mimi ni mtaalam was Tally ERP9 nipo Dar, naifindisha na kuitumia ktk kampuni,
Kwakifupi naijua vilivyo, nipigie ili tusaidiane taaluma,
0713 555991
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…