Stv MknStv Mkn Mimi nataka nikufundishe kila kitu kuanzia hatua ya awali kabisa ili ufanye mwenyewe. nitakufundisha bure bila malipo yoyote. ukiwa tayari niambie, hakuna haja ya kukutana wala kuingza urasimu wa aina yoyote. nitakufundisha vizuri kabisa kupitia Youtube. takugarmu kuanzia miezi 3 mpaka miezi 6 kufahamu kila kitu, baada ya hapo utazidi kuwa proffessional kadri utakavyozidi kufanya kazi na kusoma technology mpya

Naitaji mtu wa kunitengenezea website.
Bei zake ziwe nafuu.
Kazi yake iwe nzuri.
Atumie artwork zake asipest templates.
Ni website ya habari za ubunifu,mitindo,ujasiriamali nk.
awe anajua kuunga na adsense pamoja na pinpoint.
awe tayari kunipa maarifa na mimi pia.
Tuchekiane!

Bei nafuu kwako ni kuanzia ngapi?
Pochi yako ikoje? Yaani utatoa kama ngapi? Ili iwe kielelezo cha mi kutiririka.
Tuone na wewe basi kazi ulizowahi fanya.
Weekend hii nitakujulisha. Vuta subira
Laki na nusu doesn't even pay my monthly office rent(kwangu pia nachukulia kama dharau), Ukipata mtu wa ku design website kwa laki na nusu ujue huyo ata download templates na pia wote (you and him) are not serious. A good website should cost not less than 600,000 tsh (i still would not do a website for that price) and a real web designer should know that.kuanzia laki na nusu.
Laki na nusu doesn't even pay my monthly office rent(kwangu pia nachukulia kama dharau), Ukipata mtu wa ku design website kwa laki na nusu ujue huyo ata download templates na pia wote (you and him) are not serious. A good website should cost not less than 600,000 tsh (i still would not do a website for that price) and a real web designer should know that.
Option nyingine: (kuna jamaa wanaitwa Smartcodes wa huko Dar) wao wanadai wanakupatia domain + website for something similar (ingawa website yao wenyewe walidownload themeforest). maybe you should check with those guys.
Advice: A website is the only way you get to connect with customers 24/7 365 without extra costs, serious people usually budget for this, It's also an online representation of your business. People can easily judge your business by just looking at your website so you better be serious about it.
Najikuna mkono wangu unapofikia mkuu, kama unachukulia negative sina la kukuelewesha.
think the guy needs a blog like other blogs ambazo they are made kwa price hiyo then anannua domain afu anaclaim ni website.Have you thought that maybe you are not ready for a website? There's no point in having a cheap website now only to realise a few months down the road that it wasn't the best website, and start looking for another designer to re-design it, I'd advice you just get yourself a domain create some emails and wait for a website when you are ready.