Nahitaji mshirika wa kuwekeza katika mgodi wa Ruby

kingsami

Member
Jul 11, 2015
48
32
Nina miliki mgodi wa ruby uliosajiliwa ni mgodi wenye Hector 10 na mawe yake ni ya huakika ila kwa sasa nimekwama kiuendeshaji. natafuta mtu anaeweza kuingia mkataba na mm tukafanya kazi kwa kugawana Shea katka faida. Dalali haitajiki
 
Mgodi uko wapi?Unsataka mwekezaji mwenye capital ya aina gani na kiasi gani?
 
Mgodi upo kibaigwa rugine mkoa wa DODOMA. capital ni M20 itatuwezesha kukodi mashine na kufanya uchimbaji kuwa rahisi kabisa
 
Nina miliki mgodi wa ruby uliosajiliwa ni mgodi wenye Hector 10 na mawe yake ni ya huakika ila kwa sasa nimekwama kiuendeshaji. natafuta mtu anaeweza kuingia mkataba na mm tukafanya kazi kwa kugawana Shea katka faida. Dalali haitajiki
Docs elekezi zipo?
Mean pamepimwa?docs za umiliki?
 
Mgodi upo kibaigwa rugine mkoa wa DODOMA. capital ni M20 itatuwezesha kukodi mashine na kufanya uchimbaji kuwa rahisi kabisa
Ruby ya huko iko kama ya winza, mpwa wa au Naku pm # yangu nipigie unitafute ila ningependa kuona sample za ruby hizo
 
Una PML au PL? na partners wa huo mgodi mpo wangapi? mwamba umeshaonekana au ni kuanza kuutafuta upya mwamba? au mgodi ni surface area?

ni PML na partners tupo wawili. pia ni mgodi wenye historia ya kutoa mawe mazur kama ya Winza na mikanda inaonekana. pia mgodi upande uko surface na upande uko underground ila lengo ni kuufanya upande wa underground uwe opencast maana hta juu yke ni mali tupu
 
Ruby ya huko iko kama ya winza, mpwa wa au Naku pm # yangu nipigie unitafute ila ningependa kuona sample za ruby hizo

ruby ya hpa haina tofauti na Winza maana tunadhani mkanda wa Winza umetemea hpa
 
ni PML na partners tupo wawili. pia ni mgodi wenye historia ya kutoa mawe mazur kama ya Winza na mikanda inaonekana. pia mgodi upande uko surface na upande uko underground ila lengo ni kuufanya upande wa underground uwe opencast maana hta juu yke ni mali tupu
Kwahiyo capital unayosema ni kwa ajili ya kugharamia kambi na vifaa au unataka kupeleka scaveta? umeulizia gharama za kumpeleka geologist mgodini anataka how much?
 
lengo ni kupeleka scaveta na kuifanya kazi ndani ya cku 15 pia Nna team ya watu wazoefu sana naomba tuwasiliane kwa maelezo zaidi 0785946237
 
Gram moja ya ruby iliyosafishwa na kukatwa ni bei gani?
 
Back
Top Bottom