Nahitaji mshauri/ushauri

Kwa maelezo yako na comment nlizopitia toka mwanzo mpaka mwisho. Kuna mambo kimantiki hayana maana ila kimaisha ukiyafkiria Kwa upana hasa Kwa jamii zetu za kiafrika yanamaana mnoo. Mkuu wewe unamaadui umetupiwa kitu kinaitwa kim**vi yani wewe kila ataetaka kukusaidia utaishia kugombana nae tuu. Jiongeze nadhani wewe ni mtu mzima tena timamu.
 
Okay, mbona sasa haukuja ili nikupeleke kwenye hiyo kazi?
Kaka nimekushukuru kwa msaada wako ,sana tena sana ,na mungu aendelee kukubariki ,na namba yako nimeisave kuna siku shukrani yangu utaipata

Ahsante ,hata kama huamini siku ukiwa dodoma tunaweza kuonana uzuri mawasiliano ninayo (sijajua nini ila tu nafsi iligoma kabisa nilikuwa sina sababu nyingine zaidi ya hio)
 
Aisee ,shukrani kwa msaada wako
,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,
Ehee embu funguka huyu arawa naona anataka kukuharibia huku
 
Nafsi iligoma?
Aisee tatizo unalo.. .yaani unaisikiliza nafsi kwanza...
Hiyo nafsi inataka uendelee kuwa dhalili hivyo?

Au kuna kitu uligundua kwenye ofa ya ushimen?
Sema kweli utasaidiwa na wengine!
 
You are not serious.
 
Sawa, wakati mwingine nivizuri pia ukaisikiliza nafsi pia
 
Nafsi iligoma?
Aisee tatizo unalo.. .yaani unaisikiliza nafsi kwanza...
Hiyo nafsi inataka uendelee kuwa dhalili hivyo?

Au kuna kitu uligundua kwenye ofa ya ushimen?
Sema kweli utasaidiwa na wengine!
Kijana akikujibu naomba unitag mkuu, maana naona sasa msaada unanigeuka na kuwa kashfa.
Kijana angeweka wazi ili heshima yangu iendelee kubaki kama ilivyo kuwa
 
Kama unaweza kuendesha bajaj guta lipo lina mwaka wa tatu ndani njoo pm tuyajenge. Mi nataka elf 10 tu kwa siku no more no less ukila hasara ni yako. Nipo musoma mjini
 
Nadhani huyu kijana anahitaji maombi, baada ya kupitia nyuzi zake nimejikuta ninamsikitikia sana kwa aina ya maisha aliyo yachaguwa
Hii dunia...

Watu tunashida za kufa...ni basi tu...

Huyu alishasema ana tatizo la saikolojia pia.. .

Mwiba! hapo atibiwe wanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…