Aiseeee....!!Ndugu pole sana, I know how u feel
Unazingua dogoMkuu maisha mapito ningekuwa na home ningelikuwa nimesharudi muda mrefu
Mkuu, ebu kwanza temea mate chini tafadhaliSidhani kama anapenda iwe hivyo, ila sometimes yakikukuta unaweza kulala ata chooni, kwakweli tunapitia mengi wanaume
Ahsante sana mkuu...Maelezo yako kwa mtu wa kawaida atakuona wewe ni mbabaishaji
Kusema huna ndugu na wala huna makazi (huku ukiwa na umesoma ualimu).
Mimi nimekuelewa, wewe hata ukipewa kazi utaendelea, "kutangatanga"
Kazi utafanya vizuri, ila baada ya muda utaona hapo kazini hapakutoshi (naandika hapa kwa uzoefu wangu na yaliyonipata hapo awali).
Msaada wa awali unaopaswa kupewa, upate sehemu ya kuishi (ukae hapo bure, kula, kulala n.k vyote iwe bure,)
Ikitokea umeondoka hapo, upewe nafasi ya kurudi pindi huko ulipokwenda mambo yatakapokwenda fyongo!
Hiyo itakufanya uwe unapata muda mzuri wa kupitia yote yaliyotokea hapo nyuma, na hapo ndipo utapata mwanga wa nini kinakupasa ufanye!
Ukijiingiza katika makanisa hapo umejipoteza.
Naandika kwa uzoefu siyo ubabaishaji!
Dogo mzinguaji, nimemtafutia kibarua na nikamtafutia pakulala kwa mwezi mmoja.Sasa,mkuu ,ukipewa kazi atakudhamini Nani? SI unajua uaminifu siku hizi ni tabu
Yote yatapita mkuu,ni nyakati tu tunazopitia. Tambua kuwa huwezi kubaki hivyo milele.
Mhhhhh....Nausoma ujumbe huu na kuuona uhusika umenivaa,pole sana ndugu.ipo siku utafutwa machozi
Ya kweli haya? mimi pia baada ya kusoma hapa nilipanga nimtafute sasa km analeta ianja janja inakuwaje!Dogo mzinguaji, nimemtafutia kibarua na nikamtafutia pakulala kwa mwezi mmoja.
Dogo kaingia mitini, na sina hakika hata kama kweli yupo Dodoma.
Pengine yawezekana anatupanga ili tumuonee huruma na kisha atuNyete
Aisee ,shukrani kwa msaada wakoDogo mzinguaji, nimemtafutia kibarua na nikamtafutia pakulala kwa mwezi mmoja.
Dogo kaingia mitini, na sina hakika hata kama kweli yupo Dodoma.
Pengine yawezekana anatupanga ili tumuonee huruma na kisha atuNyete
Mungu hamtupi mja wakeYa kweli haya? mimi pia baada ya kusoma hapa nilipanga nimtafute sasa km analeta ianja janja inakuwaje!
Km kuna anaeleta mzaha na shida yako Allah hulipa hapahapa!Mungu hamtupi mja wake
Kijana, unazingua sitaki niseme mengi wewe utakuwa na matatizo yako mengineAisee ,shukrani kwa msaada wako
,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,
Kwa kweli Mungu huwa anasingiziwa sana...Mungu hamtupi mja wake
Mkuu, swala la huyu kijana nili lifanyia kazi. Lakini ebu aseme hapa kama alifanya kile tulicho kubaliana?Km kuna anaeleta mzaha na shida yako Allah hulipa hapahapa!
Na bando anakuwekea nani?Mkuu nimeuza vitu vingi sana vya ndani na nilivyokuwa navyo hivyo kuuza simu sioni kama itakuwa solution na mara nyingi simu kama inanisaidia kutoa stress nikiingia mtandaoni na vitu kama hivyo na kwa asilimia kubwa simu ndo inanisaidia sana na nikiuza ndo naona maisha yatakuwa mabaya sana mkuu nilijaribu kuwaza hivyo lakini naona effect ya kuuza simu na kukaa bila simu ni kubwa sana
Kwann ukubali kulala popote hauna kwenu?au ww ni wale wa maisha popote hata kama ni jalalani na kuteseka?! Haujitendei haki na haujipendi hata kidogo
Uza smartphone hiyo ukakodi kipande cha ardhi ulime mboga mbogaPia ushauri wako unaweza niokoa
Hapana sijaongea kwa mabaya ni vile tu mtu alivyoandika na nmejaribu kuvuta taswira ya kulala stendi na huko kwingine nmefananisha na wale waliopp hapa mjini dsm kuna wenye makwao ila anakubali ateseke mradi tu aonekane anaishi dsmUsiseme hvyo hta kidg!utakuja shushwa na ww!
Okay, mbona sasa haukuja ili nikupeleke kwenye hiyo kazi?Aisee ,shukrani kwa msaada wako
,hakuna mahali nimekuomba pesa hata ulipotaka kunitumia nauli nimekukataza ila nikadai nikipata kazi itafaa zaidi ,