Kwann ukubali kulala popote hauna kwenu?au ww ni wale wa maisha popote hata kama ni jalalani na kuteseka?! Haujitendei haki na haujipendi hata kidogo
Hufanyi kitu / biashara sahihi!Shukrani kiongozi
Nipo kwenye mtihani ambao kiukweli mbele naona giza tu
Kusoma ualimu bila ajira ni sawa na sifuri mkuu yaani hapa nilipo sioni chochote kinachoweza nisaidia kupitia huu ualimu zaidi ya kufundisha yaani katika maisha yangu naona hauna msaada wowote maana tangu 2015 nilipotoka chuo ajira hamna kabisa yani
Hivi najitahidi kupambana na vibarua lakini nikipata kamtaji nikianzisha biashara nikipata maradhi pesa yote huishia kwenye matibabu nikipona naanza na moja
Mkuu detail zote ninazo vyeti,kitambulisho,cheti cha kuzaliwa pia mimi ni mwaminifu sana aiseeSasa,mkuu ,ukipewa kazi atakudhamini Nani? SI unajua uaminifu siku hizi ni tabu
Sina biashara kamili mkuuHufanyi kitu / biashara sahihi!
Mambo ya kudhaminiwa katika kazi nayaona ya kizee sana!Sasa,mkuu ,ukipewa kazi atakudhamini Nani? SI unajua uaminifu siku hizi ni tabu
Nani kasema ntatumia udhamini huo unaoujua wewe!Mambo ya kudhaminiwa katika kazi nayaona ya kizee sana!
Wewe hujui hata matapeli / majambazi wanaweza kujipanga akapatikana muomba kazi, baba yake, mjomba wake mke wake n.k!
mpaka ukihitaji mwenyekiti wa kijiji analetwa.
Wewe kama unatoa kazi, mpe kazi,
Kama ni mwizi hata adhaminiwe na rais atakuibia tu.
Mkuu walezi wapo ila hali yao ni ngumu sana na mara nyingi nikipata kiasi cha pesa huwa nawatumia hivyo nao ni tegemezi kwanguPole, naomba nikuulize maswali yafuatayo
1. Nyumbani ni wapi?
2. Wazazi au walezi unao?
3. Dodoma ulifikaje au ulipomaliza masomo uliishia mjini?
Mkuu nimeuza vitu vingi sana vya ndani na nilivyokuwa navyo hivyo kuuza simu sioni kama itakuwa solution na mara nyingi simu kama inanisaidia kutoa stress nikiingia mtandaoni na vitu kama hivyo na kwa asilimia kubwa simu ndo inanisaidia sana na nikiuza ndo naona maisha yatakuwa mabaya sana mkuu nilijaribu kuwaza hivyo lakini naona effect ya kuuza simu na kukaa bila simu ni kubwa sanaAnza kuuza smartphone kwanza, kabla ya hapo acha mbu wakutafune kwanza ili ujue hata Nokia ya tochi inafaa kwa mawasiliano pia [emoji848]
Nimekutumia inboxWeka namba yako ya simu hapa ili nikuhoji vizuri kwanza