Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

Aisee hawa wadada siku hizi wanasumbua sanaa mtu ukimpata mheshimu sanaa me nashangaa wanaowapata alafu wanawanyanyasaa... Unaweza tapeliwaa mpaka ukahisi kufa kufa me nimekataa tama..!! Mwingine juzi kati nimemkatia mpaka tiketi usiku ananimbia hawezi kuja bibi yake amefarikii..
Bibi yake amefariki🤣 hao wana kila aina ya sababu mkuu, pengine bibi kafariki hata yeye hajazaliwa🤣.
 
Alafu ni mtu wa heshima huwezi mdhaniaaa.. Yupo hapa hapa dar mpaka picha yale ninayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe kuna dada nilimtumia namba zako anakupigia toka juzi hupokei simu na wala hujamtafuta
sijui ni dada yupi kama ni yule wa mwanza kutuma nauli siwezi... kuna mwingine alisema ana mtoto hapo napo changamoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom