Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,228
- 1,831
Wakuu, Baada ya kuvisit tovuti ya Main Page - Linux Mint na kusoma baadhi ya guide nimeamua ku-install na kuitumia. Lakini kabla ya yote nahitaji ushauri wenu kwanza. Kwa yeyote aliyewahi kuitumia, kuna matatizo yoyote aliyopitia? Je, ni nzuri. How's performance?? Apps nzuri kwa ajili ya hii OS.
NITASHUKURU NIKIPATA MSAADA.