Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,215
Ooh sawa mkuu ayo ni mapito tuBaba huko kote ni katika kutafuta riziki baada ya kuwa desparate nahitaji pesa maisha yaendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ohhhooooo.....
Nina bachelor of arts with education mkuuSasa mkuu unataka connection wakati hujaweka fani ya ulichosomea, vipi tatzo lako la kusinzia ulishalitafutia ufumbuzi na ukajua chanzo chake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani? Hela ya Bando umeitoa wapi? kwa nini Usingeiacha nyumbani? au Umeazima simu ya Mtu? Samahani lakini kuuliza siyo ujingaNaanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na afya njema mpka wakati huu. Pili napenda kutoa salam zangu zikufikie wewe unaesoma thread hii popote pale ulipo na mungu akubariki sana.
Mimi ni kijana na nina familia ya mke na watoto wawili. Nimshukuru mungu baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo ngazi ya shahada ya kwanza nilipata kazi mkoan Tanga maisha yakaendelea, niliweza kukidhi haja mbalimbali za familia yangu na kuendesha maisha. Baada ya mwaka mmoja wa kazi nilianza kupatwa na hali ya ajabu sana, kwanza kuwa na usingizi mzito sana asubuhi pili kutokuwa na morali ya kazi.
Kwa muda mrefu sana nipipigana na hii hali ambayo ilipelekea kutokuwa na ufanisi mzuri katika utendaji kazi. Nilijaribu kutafuta ushauri kila mtu alisema lake nilojikaza na hatimae miaka miwili ikapita lakini katika hali ngumu sana pesa haikai na niseme tu mimi sina matumizi mabaya ya pesa halafu si mtu wa anasa.
Nikajikuta naingia kwenye madeni ambayo yalipelekea mshahara wangu kupinguwa sana na hata kufikia hatua mshahara hautoshi hali ilikuwa ni mbaya sana. Ni muda mrefu sana nimekuwa mtu wa kutopata usingizi usiku, nilipambana kwa hali zote lakini haikiwa riziki yangu nikasimamishwa hivyo nikarudi nyumbani.
Nimejitahidi kutafuta kazi lakini nimekosa ilifikia point nikaona bora nijiue lakini nikifikiria wanangu na mama yao wananitegemea. Inabidi nipambane kwa ajili yao sina kazi ikabidi nianze kudeal na vibarua nipate 2000 watoto wangu wale. Ni maosha magumu sana haya najua ni mitihani nami sikati tamaa.
Lengo la kuandika historia fupi ya nilikopitia mpaka hapa nilipo sasa ni kutaka msaada wenu katika mambo haya mawili wana JF.
1. Tangu mwanzo wa hii wiki imekuwa ngumu sana kupata vibarua imepelekea ugumu sana kupata chakula. Nina watoto wawili wadogo mkubwa ana miaka 5 na mdogo ana miaka 3 naumia sana roho ina niuma sana nikiwaona nashindwa kuwapa milo yote mitatu. Jana usiku wamelalia uji na leo asubuhi nimeondoka sijaacha kitu kwani hata senti sina. Ndugu zangu kwa mwenye uwezo wa kunistiri familia yangu leo ipate chakula nitashukuru sana.
2. Kwa yoyote ambae anaweza kunipa kazi ama kunipa connection yoyote ya mimi kupata kazi nitashukuru sana. Nahitaji kazi ili niendeshe famipia yangu vizuri, sijiwazii mimi bali niwazia na kuifikiria familia yangu kwani mimi ndie baba na wananitegemea wanangu bado wadogo sana.
NB.:Nakushukuru kwa kusoma thread yangu na mungu akubariki sana na uwe na siku njema.
Amiin
Kwa alie teyari kunipa msaada wa aina yoyote naomba tuwasiliane PM
Mkuu samahaniHuwezi fungua hata Tution Centre mahala ulipo Mkuu Samahani lakini mimi ni mdadisi tu kidogoNina bachelor of arts with education mkuu
mkuu natumia free basics. Hiyo pesa ya kununu MB ingetosha zaidi kuwaachia nyumbani wakapata hata maandazi asubuhi ikapita tukajuwa ya mchana mkuu.Mkuu samahani? Hela ya Bando umeitoa wapi? kwa nini Usingeiacha nyumbani? au Umeazima simu ya Mtu? Samahani lakini kuuliza siyo ujinga
Kwa fumbo hili, hapa umenifikirisha sana mkuuDahabu haiwezi kung'ara mpaka ipite kwenye moto.
Mkuu haina haja ya kusema samahani nashukuru kwa hili pia nilishafanya tuition japo haikiwa na mafanikio, mazingira niliyopo muamko wa elimu ni mdogo sana nilipata watoto watatu ambao nilikuwa ninawafundisha na ukizingatia masomo niliyochukuwa si yenye uhitaji sana wa tuition kwa ngazi ya o level.Mkuu samahaniHuwezi fungua hata Tution Centre mahala ulipo Mkuu Samahani lakini mimi ni mdadisi tu kidogo
Mkuu,ungekuwa na dar kuna mtu ningekuunganisha nae mpambane pamoja,tanga parefuBado nipo tanga mkuu.
Nina Bachelor of Arts with Education
Alafu mkuu hayo mawazo ya kujiua tupa kule,Naanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na afya njema mpka wakati huu. Pili napenda kutoa salam zangu zikufikie wewe unaesoma thread hii popote pale ulipo na mungu akubariki sana.
Mimi ni kijana na nina familia ya mke na watoto wawili. Nimshukuru mungu baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo ngazi ya shahada ya kwanza nilipata kazi mkoan Tanga maisha yakaendelea, niliweza kukidhi haja mbalimbali za familia yangu na kuendesha maisha. Baada ya mwaka mmoja wa kazi nilianza kupatwa na hali ya ajabu sana, kwanza kuwa na usingizi mzito sana asubuhi pili kutokuwa na morali ya kazi.
Kwa muda mrefu sana nipipigana na hii hali ambayo ilipelekea kutokuwa na ufanisi mzuri katika utendaji kazi. Nilijaribu kutafuta ushauri kila mtu alisema lake nilojikaza na hatimae miaka miwili ikapita lakini katika hali ngumu sana pesa haikai na niseme tu mimi sina matumizi mabaya ya pesa halafu si mtu wa anasa.
Nikajikuta naingia kwenye madeni ambayo yalipelekea mshahara wangu kupinguwa sana na hata kufikia hatua mshahara hautoshi hali ilikuwa ni mbaya sana. Ni muda mrefu sana nimekuwa mtu wa kutopata usingizi usiku, nilipambana kwa hali zote lakini haikiwa riziki yangu nikasimamishwa hivyo nikarudi nyumbani.
Nimejitahidi kutafuta kazi lakini nimekosa ilifikia point nikaona bora nijiue lakini nikifikiria wanangu na mama yao wananitegemea. Inabidi nipambane kwa ajili yao sina kazi ikabidi nianze kudeal na vibarua nipate 2000 watoto wangu wale. Ni maosha magumu sana haya najua ni mitihani nami sikati tamaa.
Lengo la kuandika historia fupi ya nilikopitia mpaka hapa nilipo sasa ni kutaka msaada wenu katika mambo haya mawili wana JF.
1. Tangu mwanzo wa hii wiki imekuwa ngumu sana kupata vibarua imepelekea ugumu sana kupata chakula. Nina watoto wawili wadogo mkubwa ana miaka 5 na mdogo ana miaka 3 naumia sana roho ina niuma sana nikiwaona nashindwa kuwapa milo yote mitatu. Jana usiku wamelalia uji na leo asubuhi nimeondoka sijaacha kitu kwani hata senti sina. Ndugu zangu kwa mwenye uwezo wa kunistiri familia yangu leo ipate chakula nitashukuru sana.
2. Kwa yoyote ambae anaweza kunipa kazi ama kunipa connection yoyote ya mimi kupata kazi nitashukuru sana. Nahitaji kazi ili niendeshe famipia yangu vizuri, sijiwazii mimi bali niwazia na kuifikiria familia yangu kwani mimi ndie baba na wananitegemea wanangu bado wadogo sana.
NB.:Nakushukuru kwa kusoma thread yangu na mungu akubariki sana na uwe na siku njema.
Amiin
Kwa alie teyari kunipa msaada wa aina yoyote naomba tuwasiliane PM
Mkuu maisha popote na mwanaume ni kupambana bado sijakata tamaa mkuu nitakutafuta mkuu ili niipate hiyo connection. Wacha kwa leo mkuu nipambanie ugali wa watoto mkuu. Shukran sanaMkuu,ungekuwa na dar kuna mtu ningekuunganisha nae mpambane pamoja,tanga parefu
Sent using Jamii Forums mobile app
tanga sehemu gan uko?Bado nipo tanga mkuu.
Nina Bachelor of Arts with Education
Nafight sana though sometimes mambo yanakuwa hayaendi kama hivi kichwa knapata moto mkuu wanangu bado wadogo. Can you imagine bro mpak kula inakuwa mtihani. Mpaka nafikia hatua ya kuanzisha uzi ili nipate msaada. Nafight mkuu. Shukran sanaAlafu mkuu hayo mawazo ya kujiua tupa kule,
Shida yako ni ndogo sana,stand as a man..mwanaume ni kupambana tu
Sent using Jamii Forums mobile app