Habari zenu wandugu. Naombeni msaada wenu nina computa dell optiplex 210l imekufa sound card nikaweka pci sound card uki instal win sp3 softwinn inarudisha driver lakini nikiweka win7 hairudishi naombeni kama kuna aliye wahi kupatwa na tatizo hilo nahitaji msaada wako asante