Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,589
- 14,201
Wadau Laptop yangu HP G 5000, RAM 1GB, HDD 250. Ilikuja na VISTA, nikaweka XP kisha WIN7
Toka juzi kila nikiwasha inakwenda hadi kwenye logo ya Win7 kisha kwa sekunde inatokea blue screen na laptop inajizima na kujiwasha tena, inakwenda hadi kwenye logo ya Win7 blue screen ina tokea na kupotea inajiwasha tena, mzunguko ni huo forever
Nikaona isiwe tabu japo nina vitu muhimu ngoja nipige chini windows niweke upya window XP
nikiweka inipa error "Installation disc cannot find the hard drive"
Nikijaribu kuinstall upya windows 7 napata tena error "Installation disc cannot find the hard drive"
Nimeingia BIOS na kucheck HDD inarepoti ipo powa.
Nimejaribu kugoogle naona maluwe luwe tu, sijapata ufumbuzi.
Nina kazi muhimu sana na hii laptop, tafadhali naombeni masaada wenu kwa mwenye ujuzi na hili