single father
Member
- Oct 22, 2019
- 77
- 117
Huyo Namba 2 atakufaa zaidi na ndiye chaguo lako,huyo namba 1 unambabaikia tu coz ya elimu yake,kazi yake na uwezo alionao tu kimaisha,namba 2 anakufaa kuanza nae maisha,hapa wala hukuhitaji kuja kuuliza huku.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nomaWeka na wewe faida zako na hasara zako ilikuweka mzani sawa.
Angekuwa anajua moyo wake unataka nini hata asingekuja kuuliza hapaOa unaeona moyo wako unauhitaji nae, wewe ndo unawafahamu kwa undani, usifate elimu, Mali, au watu wanashabikia uoe yupi, ukioa wewe ndo utaishinae hao watu hawatakuwepo....FUATA MOYO WAKO MKUU