Nahitaji msaada wenu wa haraka

Nahitaji msaada wenu wa haraka

Manmud

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
67
Reaction score
8
Habari zenu wana wa jukwaa hili..naomba msaada wa haraka kwa yeyote anayejua/kufahamu chuo ama taasisi inayotoa cheti cha uhakika cha SISCO Network....plz nahitaji msaada wenu
 
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/375404-kampeni-susia-vichwa-vya-bandiko-vibovu-svbv-new-post.html
 
Kama unaongelea certification za CISCO basi hii haijalishi unaipata wapi inatungwa na CISCO na unatahiniwa kwa computer kwenye certified testing centers bongo kuna ya mlimani ucc, techno brain na nyingine moja nimesahau. Kama unataka ufundishwe kwanza hapi ndo kuna tofauti ya ubora.
 
am studyn at u ucc,pale unasoma corz then una sit for online exam kutoka cisco moja kwa moja.so ucc is just a training center
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom