Nahitaji msaada wenu kwenye hili

Nahitaji msaada wenu kwenye hili

Habari za muda huu wakuu, mimi ni member mzoefu ila nimeamua kuja na Id nyingine ili niweze kuwa huru zaidi kwenye hili lililonifanya niandike huu uzi. Kuna jambo linanitatiza sana nahitaji ushauri juu ya maamuzi niliyoyafikia kama ni sahihi au sio sahihi.

Ni hivi wakuu, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja huu mwaka wa pili tupo pamoja lakini mwenzangu huwa apendi kabisa kipengele cha kufanya mapenzi(tupo mikoa tofauti ila huwa tunakutana kila baada ya miez miwili) yeye ni mwanafunzi wa chuo (afya/udaktari). Nilijaribu kuchunguza kwanini hapendi kuna mda hana ham kabisa imagine mnaweza toka ukalipa lodge lakin mwisho wa siku mnaishia kulala tu mpaka kunakucha bila ya kufanya chochote.

Nilivumilia hali hii kwa mda kwakuwa ni mwanamke nnaempenda, akiwa on mood anatoa ushirikiano vizuri tu lakin baadae utamuona analia anasema nimemuumiza nambembeleza anatulia. Baada ya mda kidogo nilikuja kugundua tatzo lakini hadi sasa hajawahi kunieleza(nadhani sio rahisi kwake kuliweka hili wazi na linamtesa sana kwa sababu kuna mda unaona kabisa anafosi ili nisihisi kitu lakini afanikiwi). Nilikuja kugundua kuwa amekeketwa na anawahi kuwa mkavu ndio maana analalama kuwa anaumia.

Huu ukweli uliniumiza sana kwa kuwa nampenda sana sikujali nikasema ahsante Mungu kwa huyu ulienipa sina budi kuendelea nae kwa kuwa sio yeye alipenda awe hivyo. Siku zikazidi kusonga mbele nikawa naona ni kawaida, kuna siku tulikutana tukawa pamoja kwa siku kama 5 hivi, hali haikuwa shwari kabisa nikamuuliza kama kuna tatzo lolote nieleze hupaswi kunificha mimi ndio mwanaume wako nakumbuka alilia sana lakin hakunieleza chochote.

Sasa kubwa ni hili wakuu tuna takribani miezi kama 7 hivi hatujafanya na tunakutana mara nyingi tu ila jibu lake ni kuwa hataki kwa sasa na ukimuuliza sana anasema yeye hajui sababu ni nini. Binafsi naona kama anakosea sana kwa sababu namgharamia na kumthamini nikiamini ni mwanamke wa ndoto zangu bila ya kujali hali yake lakini kwa mwenendo huu tena bila kuweka wazi sababu hasa ni nini nimefika mahali nimemkatia tamaa na kuamua bora tu nimuache huenda sio fungu langu. Nagharamika kusafiri kila mara and all bills for nothing inanihuzunisha mno.

Kwa upande wa tabia na mienendo mingine ni wife material kabisa na ndio maana nnampenda(nilimbikiri mimi) . Mawasiliano kwetu hayajawai kuyumbishwa na chochote(strong) sijawahi kuona dalili za yeye kunicheat nadhani inachangiwa pia na hali yake ya kutokupenda sex(sio mtu wa kujichanganya kabisa).
Nawaza sana baadae nikija kumuoa itakuwaje, yataendelea haya haya nayoyaona sasa au atabadilika. Kuvumilia hali yake naweza kwa mda fulani lakin changamoto ni ikiwa ni kwa mda mrefu maana mpaka sasa ni mda umepita na ukiuliza mwisho wa haya ni lini jibu ni sijui na sababu sijaambiwa.

Wakuu haya maamuzi niliyoyafikia ya kumuacha ni sahihi au sio sahihi? Nahitaji ushauri zaidi kwenye hili nifanyaje wakuu?

NB: ukeketaji unawaumiza sana wahusika kimwili na kisaikolojia, tukemee kutokomeza hali hii kwenye jamii zetu. Humfanya ke asijiamini, kupoteza ham ya tendo. Hii inampelekea kuwa na zile kauli za “love is not about sex” kwa sababu anajua kabisa huko yeye ni maumivu tu.
ulibikiri nini wakati amekeketwa?
 
Mwambie ukweli kuwa unajua kinachomsumbua, na onyesha kutojali tatz alilo nalo, huenda anahis hujui na anawaza itakuwaje ukijua ndo mana anajilinda mapema.
Ningekuwa n mm huyo ndo mke ningemwoa koz hata mm sipendi sex japo nina hisia. Tungeendana sanaaaa
huyu ni mke tatzo ni hilo tu likipata ufumbuzi naoa.

Ingekuwa ni mimi ningefanya hivi;

Ningekaa naye chini nimwambie kuwa najua amekeketwa lakini bado nampenda kwa hali hiyohiyo aliyonayo..naamini baada wa wiki kadhaa angeanza kujiamini na saikolojia yake ingekaa poa.

Ana kuwa mkavu maybe kwa sababu tu ya kutokuwa comfortable na hiyo hali.

Pia kuna lubricants waweza kutumia huku akiendelea kugain confidence.
Ni zipi nzuri kwa matumizi nisaidie majina nitazitafuta.
Kwa kozi anayesoma inahitaji concentration kubwa sana so ni ngumu kuwa sexually aroused unless kama aliwahi kutumika sana, acha amalize chuo wala usimjudge haraka namna hiyo as long as hazingui kwenye Mawasiliano yenu ya kila siku,
Sawa mkuu
ukimwacha , nipe namba yake
Utaoa au utamuumiza tu?
Mwanamke anayesoma MD hapati hamu ya mapenzi mpaka amalize chuo na hii hata kwa wanaume pia, trust me.
ubize wa kusoma upo sana na anapambana sana kusoma nadhani hii pia n kutokana na hali halisi ya familia yake.
Pamoja nakuvumilia kuna mambo kadha yakuongea nae lazima ufanye hivo iliujue tatizo nn sikushauri uoe ktk hali hiyo kuna wanawake kufanya mapenzi kwao sio mhim isije kuwa waaina hiyo ukaishia kutembea na bint wakazi

Nitaongea nae nipate ukweli kutoka kwake.
 
Habari za muda huu wakuu, mimi ni member mzoefu ila nimeamua kuja na Id nyingine ili niweze kuwa huru zaidi kwenye hili lililonifanya niandike huu uzi. Kuna jambo linanitatiza sana nahitaji ushauri juu ya maamuzi niliyoyafikia kama ni sahihi au sio sahihi.

Ni hivi wakuu, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja huu mwaka wa pili tupo pamoja lakini mwenzangu huwa apendi kabisa kipengele cha kufanya mapenzi(tupo mikoa tofauti ila huwa tunakutana kila baada ya miez miwili) yeye ni mwanafunzi wa chuo (afya/udaktari). Nilijaribu kuchunguza kwanini hapendi kuna mda hana ham kabisa imagine mnaweza toka ukalipa lodge lakin mwisho wa siku mnaishia kulala tu mpaka kunakucha bila ya kufanya chochote.

Nilivumilia hali hii kwa mda kwakuwa ni mwanamke nnaempenda, akiwa on mood anatoa ushirikiano vizuri tu lakin baadae utamuona analia anasema nimemuumiza nambembeleza anatulia. Baada ya mda kidogo nilikuja kugundua tatzo lakini hadi sasa hajawahi kunieleza(nadhani sio rahisi kwake kuliweka hili wazi na linamtesa sana kwa sababu kuna mda unaona kabisa anafosi ili nisihisi kitu lakini afanikiwi). Nilikuja kugundua kuwa amekeketwa na anawahi kuwa mkavu ndio maana analalama kuwa anaumia.

Huu ukweli uliniumiza sana kwa kuwa nampenda sana sikujali nikasema ahsante Mungu kwa huyu ulienipa sina budi kuendelea nae kwa kuwa sio yeye alipenda awe hivyo. Siku zikazidi kusonga mbele nikawa naona ni kawaida, kuna siku tulikutana tukawa pamoja kwa siku kama 5 hivi, hali haikuwa shwari kabisa nikamuuliza kama kuna tatzo lolote nieleze hupaswi kunificha mimi ndio mwanaume wako nakumbuka alilia sana lakin hakunieleza chochote.

Sasa kubwa ni hili wakuu tuna takribani miezi kama 7 hivi hatujafanya na tunakutana mara nyingi tu ila jibu lake ni kuwa hataki kwa sasa na ukimuuliza sana anasema yeye hajui sababu ni nini. Binafsi naona kama anakosea sana kwa sababu namgharamia na kumthamini nikiamini ni mwanamke wa ndoto zangu bila ya kujali hali yake lakini kwa mwenendo huu tena bila kuweka wazi sababu hasa ni nini nimefika mahali nimemkatia tamaa na kuamua bora tu nimuache huenda sio fungu langu. Nagharamika kusafiri kila mara and all bills for nothing inanihuzunisha mno.

Kwa upande wa tabia na mienendo mingine ni wife material kabisa na ndio maana nnampenda(nilimbikiri mimi) . Mawasiliano kwetu hayajawai kuyumbishwa na chochote(strong) sijawahi kuona dalili za yeye kunicheat nadhani inachangiwa pia na hali yake ya kutokupenda sex(sio mtu wa kujichanganya kabisa).
Nawaza sana baadae nikija kumuoa itakuwaje, yataendelea haya haya nayoyaona sasa au atabadilika. Kuvumilia hali yake naweza kwa mda fulani lakin changamoto ni ikiwa ni kwa mda mrefu maana mpaka sasa ni mda umepita na ukiuliza mwisho wa haya ni lini jibu ni sijui na sababu sijaambiwa.

Wakuu haya maamuzi niliyoyafikia ya kumuacha ni sahihi au sio sahihi? Nahitaji ushauri zaidi kwenye hili nifanyaje wakuu?

NB: ukeketaji unawaumiza sana wahusika kimwili na kisaikolojia, tukemee kutokomeza hali hii kwenye jamii zetu. Humfanya ke asijiamini, kupoteza ham ya tendo. Hii inampelekea kuwa na zile kauli za “love is not about sex” kwa sababu anajua kabisa huko yeye ni maumivu tu.
Mwambie atumie supu ya bamia kwa wingi pia siyo vibaya mkaanza kutumia vilainishi ili kumpa mwenzako burudan japo si kweli kuwa ukavu wa uke husababishwa na kukeketwa tu kwani kuna ambao hawajakeketwa na wana tatizo kama hilo
 
Kuna Mambo wawili ambayo,ninauhakika ni ngumu kwa mtu yeyote kuvumilia kuishi na mtu mwenye tabia ama hulukaa hizo...nayo ni mwanamke Malaya,kwa nn mwanamke Malaya atakutengenezea maadui wengi,pili mwanamke mchawi,huyu mda wowote anaweza kupewa masharti akutoe sadaka.ushauri wangu kwako Kama huyo bint unauhakika hana hizo tabia....aise huyo wa kuoa,ukimuacha utajilaumu baadae.utakapokutana na machepele pasua kichwa.
 
Anasoma kozi gani ya afya kwanza??
ukute labda anasoma MD. inampa stress mpk anakosa feeling mtoto wa watu alafu unafikiria masuala ya kukeketwa bure
 
Nitafuata ushauri wako mkuu asante.
.muache akazane kusomesha,Kuna siku atakuja na thread nyingine akilia lia ,amesomesha halafu wameoa wengine.
Sisomeshi nnahudumia nnatimiza wajibu wangu kwake kama mwanaume. Kwao wanamudu kumlipia gharama zote za masomo na hajawai kuniambia hata mara moja anahitaji nimlipie gharama za masomo kwahiyo kuhusu hilo la kusomesha sipo kabisa.
Kuna Mambo wawili ambayo,ninauhakika ni ngumu kwa mtu yeyote kuvumilia kuishi na mtu mwenye tabia ama hulukaa hizo...nayo ni mwanamke Malaya,kwa nn mwanamke Malaya atakutengenezea maadui wengi,pili mwanamke mchawi,huyu mda wowote anaweza kupewa masharti akutoe sadaka.ushauri wangu kwako Kama huyo bint unauhakika hana hizo tabia....aise huyo wa kuoa,ukimuacha utajilaumu baadae.utakapokutana na machepele pasua kichwa.
ni kweli kabisa mkuu ngoja nimuweke sawa ili nipate kujua kesho yangu nayeye itakuwaje ikishindikana basi.

.....ngoja tusubir mkuu
we endelea kusubiri.

Duuuh pole ila kumuacha sio jambo zuri kwa sasa jaribu kukaanae kumueleza nn kinamsumbua na anashindwa kukueleza sababu anajua utamuacha au kumkimbia kuhusu sex as u said love is not about sex so ufundi upo unaweza tumia ky jelly kuweza kulainisha inaweza saidia at hivyo kuhux kua mke n jambo zuri kwa awe na uwezo wa kuzaaa kuhusu sex hata kwa mchepuko utakula sawaaaaaa.
Sawa mkuu
Anasoma kozi gani ya afya kwanza??
ukute labda anasoma MD. inampa stress mpk anakosa feeling mtoto wa watu alafu unafikiria masuala ya kukeketwa bure

Kuhusu kukeketwa ni jambo ambalo nina hakika nalo najua wapo ke ambao hawajakeketwa wenye hali kama yake.
 
Back
Top Bottom