Broussard
Member
- Jan 30, 2021
- 28
- 29
Habari za muda huu wakuu, mimi ni member mzoefu ila nimeamua kuja na Id nyingine ili niweze kuwa huru zaidi kwenye hili lililonifanya niandike huu uzi. Kuna jambo linanitatiza sana nahitaji ushauri juu ya maamuzi niliyoyafikia kama ni sahihi au sio sahihi.
Ni hivi wakuu, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja huu mwaka wa pili tupo pamoja lakini mwenzangu huwa apendi kabisa kipengele cha kufanya mapenzi(tupo mikoa tofauti ila huwa tunakutana kila baada ya miez miwili) yeye ni mwanafunzi wa chuo (afya/udaktari). Nilijaribu kuchunguza kwanini hapendi kuna mda hana ham kabisa imagine mnaweza toka ukalipa lodge lakin mwisho wa siku mnaishia kulala tu mpaka kunakucha bila ya kufanya chochote.
Nilivumilia hali hii kwa mda kwakuwa ni mwanamke nnaempenda, akiwa on mood anatoa ushirikiano vizuri tu lakin baadae utamuona analia anasema nimemuumiza nambembeleza anatulia. Baada ya mda kidogo nilikuja kugundua tatzo lakini hadi sasa hajawahi kunieleza(nadhani sio rahisi kwake kuliweka hili wazi na linamtesa sana kwa sababu kuna mda unaona kabisa anafosi ili nisihisi kitu lakini afanikiwi). Nilikuja kugundua kuwa amekeketwa na anawahi kuwa mkavu ndio maana analalama kuwa anaumia.
Huu ukweli uliniumiza sana kwa kuwa nampenda sana sikujali nikasema ahsante Mungu kwa huyu ulienipa sina budi kuendelea nae kwa kuwa sio yeye alipenda awe hivyo. Siku zikazidi kusonga mbele nikawa naona ni kawaida, kuna siku tulikutana tukawa pamoja kwa siku kama 5 hivi, hali haikuwa shwari kabisa nikamuuliza kama kuna tatzo lolote nieleze hupaswi kunificha mimi ndio mwanaume wako nakumbuka alilia sana lakin hakunieleza chochote.
Sasa kubwa ni hili wakuu tuna takribani miezi kama 7 hivi hatujafanya na tunakutana mara nyingi tu ila jibu lake ni kuwa hataki kwa sasa na ukimuuliza sana anasema yeye hajui sababu ni nini. Binafsi naona kama anakosea sana kwa sababu namgharamia na kumthamini nikiamini ni mwanamke wa ndoto zangu bila ya kujali hali yake lakini kwa mwenendo huu tena bila kuweka wazi sababu hasa ni nini nimefika mahali nimemkatia tamaa na kuamua bora tu nimuache huenda sio fungu langu. Nagharamika kusafiri kila mara and all bills for nothing inanihuzunisha mno.
Kwa upande wa tabia na mienendo mingine ni wife material kabisa na ndio maana nnampenda(nilimbikiri mimi) . Mawasiliano kwetu hayajawai kuyumbishwa na chochote(strong) sijawahi kuona dalili za yeye kunicheat nadhani inachangiwa pia na hali yake ya kutokupenda sex(sio mtu wa kujichanganya kabisa).
Nawaza sana baadae nikija kumuoa itakuwaje, yataendelea haya haya nayoyaona sasa au atabadilika. Kuvumilia hali yake naweza kwa mda fulani lakin changamoto ni ikiwa ni kwa mda mrefu maana mpaka sasa ni mda umepita na ukiuliza mwisho wa haya ni lini jibu ni sijui na sababu sijaambiwa.
Wakuu haya maamuzi niliyoyafikia ya kumuacha ni sahihi au sio sahihi? Nahitaji ushauri zaidi kwenye hili nifanyaje wakuu?
NB: ukeketaji unawaumiza sana wahusika kimwili na kisaikolojia, tukemee kutokomeza hali hii kwenye jamii zetu. Humfanya ke asijiamini, kupoteza ham ya tendo. Hii inampelekea kuwa na zile kauli za “love is not about sex” kwa sababu anajua kabisa huko yeye ni maumivu tu.

imebidi nicheke tu