Nahitaji msaada wana developer naitaji ku-point domain ya godady kuja katika server yangu (VPS)

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
Habari wana JF,
Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server nimenunua hostus.us nawakilisha hili jamvini najua wana web developer mpo humu naomba msaada juu ya hilo na jinsi ya kufanya configuration ya server, Asante
0743497079
 
Mala nyingine fanya mawasiliano na wao wakuruhusu Kuna setting za nameserver inatakiwa udirect, wapigie godday wakupe support
 
Nimeisha fanya hivyo ndugu lakin majib ni 0 siku ya 4 sasa
 
upande wa godaddy ni kupoint tu nameserver umeshazieka? hio server yako haina nameserver?
nadhani inayo coz mal ya kwanza site ilikuwa hewani lakini ilikuja kutoka pale ambapo nilisitisha malipo so imenilazimu ni nunue tena server nyingine so nahitaji kupoint na kufanya cofiguration ya server ili eweze kupiga kazi
 
Habari wana JF,
Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server nimenunua hostus.us nawakilisha hili jamvini najua wana web developer mpo humu naomba msaada juu ya hilo na jinsi ya kufanya configuration ya server, Asante
0743497079
Pole san kak..! Ktk Account Management Panel(AMP) y domain registrar weka nameservers za hosting provider wako..! Who is the VPS provider..?
 
unaweza nisaidia tatizo hilo au
Pia name sever siioni kabisa
upload_2016-11-28_17-24-55.png
 
nadhani inayo coz mal ya kwanza site ilikuwa hewani lakini ilikuja kutoka pale ambapo nilisitisha malipo so imenilazimu ni nunue tena server nyingine so nahitaji kupoint na kufanya cofiguration ya server ili eweze kupiga kazi
Kak , ni PM tu schedule for remote assistance ili niwez resolve this issue once and for all.
 
Habari wana JF,
Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server nimenunua hostus.us nawakilisha hili jamvini najua wana web developer mpo humu naomba msaada juu ya hilo na jinsi ya kufanya configuration ya server, Asante
0743497079
Wasiliana na ulikonunua domain hosting yaani hostus.com wakupe ip address na primary and secondary name servers zao. Kisha chukua hizo taarifa wapatie godady watakusetia wao.
 
Vps aliyochukua ni unmanaged meaning setting zote afanye mwenyewe. IP address amepewa dedicated, anahitajika atengeneze custom name server zake
Nikweli mkuu nimeligundua hilo jambo baada ya kupost. Nilikuwa sijasoma post zake zote hasa zile ulizokuwa unajaribu kumpa msaada.
 
Solved. Kwa mahitaji ya webserver configuration, mail server, mysql server, servers installation and set up, Windows, Linux, 0719658086
Sorry naomba nikuulize hapo hivi webserver ni nini na inadeals na kutengeneza nini, labda ikanipendeza na kuitaka
 
Kwa wale wenye VPS au Dedicated Server pia unaweza kupitia Mgongo wa cloudflare nafikiri niliwahi post tutorial humu JF!
 
Back
Top Bottom