Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

tulia,muache afate yake,wewe mtu wako,bado hajafika
 
ivi we ni kajinga😂
 
Achana na huyo kijana haraka, tafuta kijana mwingine ila usikurupuke jipe muda.

Utapoteza muda wako kumbuka umri unasonga haurudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…