Nahitaji Msaada wa mawasiliano na Balozi Ombeni Y. Sefue

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
2,096
Reaction score
1,337
Habari za jioni wana jamvi natumia nafasi hii kuomba msaada wa jinsi nitakavyo pata moja kati ya anuani za mawasiliano anazotumia Balozi Ombeni Sefue. yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia namba yake ya Sim au anuani yake ya barua pepe naomba afanye hivyo kwa kuni inbox hapa jf, natanguliza shukurani za dhati na pia nawatakie mapumziko mema ya mwisho wa wiki
 
Katibu Mkuu Kiongozi. Ofisi ya Rais, Ikulu. S.L.P. 9120. DAR ES SALAAM. E.mail: chief@ikulu.go.tz ·
 
Back
Top Bottom