Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu

nlitibiwa muhimbili tu.MD ni wengi lakini specialist ni mmoja tu ila haitwi njenje.vipi huyo anapatikana wapi na anaweza kumaliza hili tatizo?
Huyo ni specialist wa neuro anapatikana Muhimbili pia, yawezekana ndo aliyekutibia labda sema kwakuwa humjui jina sasa sijui
 
mi nliekutana nae anaitwa Mnacho
Ok sawa nimeona apo iyo dawa ulopewa methylpredinisoloni nikakumbuka hata mm niliwahi kuitumia niliandikiwa na uyo Dk Njenje thus why nikakuuliza
 
Alikuwa anaumwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…