Nahitaji msaada wa kisaikolojia

Ngoja kwanza inamaana hujawahi kutamani mwanamke kabisa kabisa??
 
Hili tangazo la biashara ungelipeleka BADOO,huko utawapata wengi sana.
 
Hata Mimi naamini mungu ameniokoa nisije haribikiwa zaidi,na namuomba asinirudishe Tena licha ya majaribu
I pray that you are doing well brother. ..ubarikiwe sana. ...soma BIBLIA TAKATIFU kitabu cha ZABURI 20 ....
 
Pumbavu zako, miaka 24 ulikuwa na utoto gani??

Endelea hivyo hivyo kuliwa lofa mkubwa wewe
 
Pumbavu zako, miaka 24 ulikuwa na utoto gani??

Endelea hivyo hivyo kuliwa lofa mkubwa wewe
umerukia kucomment kabla ya kusoma..ficha upumbavu wako na uoneshe busara zako.
 
Wewe Makonda akikujua anakufunga kabisaaaaaa tena lile gereza la visiwa vya Cuba.


Mimi huwa Sina ushauri wa aina yeyote kw watu wapumbabu kama wewe. Na hata kama ukipata wa kukushauri still hii dhambi itatutafuna mile na mile. Na usipokuwa makini hapa utapata wahauri wa kukuingiza cha kike ili uendeleze ka mchezo Kako Kwa sababu wapumbavu kama wewe hapa pia wapo.


Utanambia, yeyote atakayekwambia sijuhi ni PM ujue umrpata bwana mwingine
 
kusema kweli walioniPM wote ni wanawake,vp ulikua unauliza ili uniPM nn?maana inaonekana kama unaulizia ili uje wewe PM?
 
Siwezi end hospital kwa tatizo LA hilo,naanzaje anzaje?
Unaonekana Unajua dawa , kama upendi kwenda Hospital basi Endelea na kazi yako. Ila huko Hospital unfesaidiwa pia kuangalia Afya yako kama bdo upo OK
 
Na Sina Hakika kama Mwenyezi Mungu anayo huruma Kwa watu wapumbavu kama wewe
 

Kwanza Hongera Kwa kukubali una Matatizo.
Muhimu NI kumrudia MOLA wako muombe akunyooshe kwenye njia iliyo nyooka.
Ukiwa kwenye njia iliyo nyooka NI vigumu kufanya maasi ya namna yeyeto.Kama utafanya hivyo hauhitaji dactari.
Nakuombea dua MwenyeziMungu akufanyie wepesi katika maisha yako.
 
mrudie mungu wewe,unamhitaji mungu zaidi kuliko huo msaada wa kisaikolojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…