Nahitaji msaada wa kisaikolojia

Kama unayo nia ya kweli nenda hospital ukawaone wana saikolojia na mshirikishe mwenyezi Mungu pia

Humu jf sina uhakika sana kama utapata msaada kirahisi rahisi hivyo maana tatizo lako kubwa asee
Siwezi end hospital kwa tatizo LA hilo,naanzaje anzaje?
 
Tafuta demu fast a,nyege zitakusumbua na utajikuta unarudi Kule kule.

Pia isitoshe mapunga wapo wengi wanaowatafuta watu Kama nyie na inavoonekana hutoweza kukataa
 
Nikushukru kwanza kwakuwa muwazi na tatizo linalokusumbua, pia nikupongeze kwa kumgeukia Mungu wako,
Kwa maoni yangu kwakuwa umemgeukia Mungu wako, ni vema ukaendelea kuwa imara katika hilo kwa kuwa huko nako kuna mabinti wazuri,
Jitahidi kufanya urafiki chanya na mabinti wengi hususani wa upande uliouchagua kumbuka ulikwisha tubu kwa Mungu wako, naamini kwakujenga mahusiano chanya na mabinti hao Mungu wako atakupa hamu yakuweza kupata hamu kwa watoto wa kike kama ilivyohamu ya moyo wako kwa sasa.
Hongera kwa hatua uliyoichukua na Mungu atakusaidia na utakuwa vizuri,
Amini Mungu wako hakuna lisilowezekana huku ukijitahidi kutengeneza urafiki chanya na mabinti wengi.
 
Kwanza pole kwa hilo.....nafurahi kusikia kwamba willingly unahitaji kupona kutoka ktk tatizo...maana kwamba umeshajitambua....kuwa muwaz kwako ndipo kutakapokuokoa....thats very good....Situation yako inaeleweka kwa urahis na utatengamaa.....lkn hapa jamii forum nikueleze tuu iwe kama mbao ya matangazo kwa issue yako....na usitegemee kupona kupitia hapa....humu kuna kila aina ya personality....mfano wapo wenye postv thnkn na wwnye neg pia...waliobobea ktk maudhi wapo pia...sasa hawa watakuangusha.....its not a bg deal....TAMBULISHA UPO MKOA GANI KWA SASA.....NIONE KAMA NAWEZA KUKUSAIDIA MM AU PSYCHOLOGIST MWENZANGU.....issue yako inahitaji Counselling Sessions ya ana kwa Ana siwez kukuambia zitakuwa ngapi....nitaangalia uponaji wako ktk hili.....na utakuwa vizur hutaweza amini. Karibu sana.
 
Kwanza nikupe pole ila jinsi ya kukushauri kuacha hicho kitendo siwezi kwa kuwa kimeingia kwenye ubongo wako. Cha muhimu ni kuacha kutumia simu ya smartphone maana utaeupuka kuangalia porno. Pili usipende kukaa na vijana hasa wadogo maana kwa akili yako unaweza kuwashawishi kufanya hilo tendo. Tatu usichart wala kuzoeana na mashoga. Nne jaribu kuwa karibu na girls
 
Nashkuru sana
 
Napatikana dar es salaam,ntashkuru Sana mkuu
 
asante kwa ushauri Ila sijawahi kua na mahusiano na gaya wengine zaidi ya huyo..
 
Kwanza tunahitaji dini yako ilitujuwe twakusaidia vp
 
Hebu kwanza jione kama ni mwanaume ambae umekamilika kisha acha kuwaza juu ya hilo tatizo ambalo sasa hivi ni la kihstoria.

Naomba kaa utafakari na utafute mwanamke ambae utampenda kaa nae kama mpenzi wako mimi naamini hakuna mapenz matamu zaidi ya KE na ME ,najua utafurahi sana
 
Pole sana, Mungu akusaidie tu, ila umemtandika jamaa! Huwa mnapata wapi ujasiri huo?
 
Mmhh cjui ata nikushauri nini...... Mrudie mungu wako kwa nguvu zoote na ujutie ulichokifanya..... Usikimbilie kua na mahusiano kwa sasa .... Jipe mda kidogo..... Pia jitengenezee connection na wanawake uwe karibu nao tuuu ila so kimahusiano ili uweze kuwazoea na kubadilishana mawazo
 
i feel you bro,hapo ni kutafuta kitu cha kudistract alafu uache kuangalia porno kwani zinazidi kukutamanisha
 
asante sana,nina mda mrefu nipo lonely na single,je mda sahihi kwangu wa kua katika mahusiano utakua upi sasa?
 
asante sana,nina mda mrefu nipo lonely na single,je mda sahihi kwangu wa kua katika mahusiano utakua upi sasa?
Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano..... Pumzika ata miaka miwili.... Lkn kwenye iyo miaka miwili jitengenezee networking na wanawake ambao ni wastaarabu kwa kadri uwezavyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…