Nahitaji msaada wa kisaikolojia

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
590
Reaction score
1,405
Habari wanajukwaa?

Kwa umri nina miaka 24, kama kichwa cha habari
 
Duuh 2010-2015. Mkuu unahitaji msaada wa kisaikolojia. Maana haya mambo umeyaingia kwa gia zote,alafu umeyaingia vibaya.

Anyway,ngoja waje na wengine tuone wanasemaje.
 
pole sana mkuu...![emoji18]

kwanza nakupongeza kwa kuonesha nia ya kuachana na homosexual..

Pili usijickie wa tofauti sana kuhusu kushindwa kujenga mazungumzo na wadada.
Hata madomo zege ambao huo mchezo hawajawahi kuucheza wapo pia,

Napenda nikushauri jambo moja kwanza,
Kabla ya kuanzisha mahusiano na binti yeyote.. Anza kutengeneza mazingira ya kuwazoea wadada,
Tengeneza marafiki wengi iwezekanavyo ambao mtakuwa mnabadilishana mawazo mara kwa mara,
Ukishakuwa na marafiki wengi wa kike hapo hautakuwa na woga wa kuzungumza na msichana tena.
Suala la mahusiano litakuja lenyewe tu, wala hata hautatumia nguvu nyingi.. Utakuwa una uhuru wakueleza hisia zako kirahisi kuliko saivi.

Nakutakia sikukuu njema..
 
Bwana anakuhitaji kwa kazi yake, tubu kisha omba Bwana akuondolee roho mchafu wa ufiraji ili uwe huru na kuwa na hisia juu ya jinsia ya kike tu.
 
Nashkuru Sana kwa ushauri wako.
 
Hongera sana. ..Kaa karibu na MOLA wako. ..sali sana maana amekutoa mbali na inaonekana hapendi ufanye mchezo huo ndiyo maana akamwangamiza mbaya wako. ..nyenyekea chini ya mkono wa MOLA naye atakupa nguvu ya kuachana na tabia hiyo na mawazo pia. ..usirudi nyuma lisije kupata jambo baya zaidi. ..ubarikiwe
 
Hata Mimi naamini mungu ameniokoa nisije haribikiwa zaidi,na namuomba asinirudishe Tena licha ya majaribu
 
Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu..ht ukioa binti utaendelea tu na shetani huyo...hapo Malaika hawakai wanakukimbia sasa ...pole sana..
 
Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu..ht ukioa binti utaendelea tu na shetani huyo...hapo Malaika hawakai wanakukimbia sasa ...pole sana..
Mungu azidi kuniepusha na majribu na mitihani ya sheytwan
 
Kama unayo nia ya kweli nenda hospital ukawaone wana saikolojia na mshirikishe mwenyezi Mungu pia

Humu jf sina uhakika sana kama utapata msaada kirahisi rahisi hivyo maana tatizo lako kubwa asee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…