Nahitaji msaada wa kazi ya wakala wa Tigo pesa

Naombeni msaada mama yangu na mdogo Wangu wananitegemea wana jf
Wew una matatizo sana. Hujui kamisheni ni sh ngapi wakati tigo pesa kila muamala unaofanya inakuambia na kamishen yake.

Isitoshe unaweza angalia kamisheni kupitia menu ya tigo pesa.

Hili la ww kung'ang'ania tukusaidie ktk kazi hii linanipa hofu, kwann uchague kazi?
Kwann lazima iwe hii ya miamala?
 
Nilikuwa bado mgeni na kazi hii na nilikuwa naipenda sana nakujituma kote nilizani nitazidi kuijua kiundani lakin sivyo Mimi kazi yoyote nitafanya ata kama sio TIGO pesa kwani sing'ang'anii sana ili nilizani nitafika mbali kwani hata jinsi ya kwenda kuzitoa hela akutaka kunielekeza ofisini kulikuwa na meza zile za plastic tena inaufa mkubwa nikimwambia meza mbovu anasema nitachonga mpya kiukweli ndugu zanguni sina jinsi ya kujibu comment zenu najikaza tu kwani sikutegemea aya yatokee ni mengi sana nimeya vumilia ndio mana naombeni mnisaidie kijana mwenzenu sina muelekeo wowote kwa sasa maisha yangu naisi yamefikia ukomo kwani nilijitoa sana
 
Wewe ni mhuni wewe.

Ajuae jinsi ni livyo ni MUNGU dukani nilikuwa nafunga SAA 3:00 na muda huo napata wateja wa kulaza simu charge ndio nipate hela ya kula wasipo charge simu na kaa na njaa uyu mdada alie letwa Leo SAA 1 amesha funga duka KWASASA SINA MBELE WALA NYUMA NISAIDIENI NA HILI JAPO ATA KWA USHAULI NIFANYEJE KULIKO KUNISEMA VIBAYA NISAIDINI WANA JF
 
Umepata kazi?

Kama bado njoo PM nakuhitaji ila kazi hiyo mchana ofisi ina mtu...Ukija nataka OFISI ipige kazi 24hrs so kama upo tayari kuja ufahamu kua muda wako wa kazi ni kuanzia 1 kamili Usiku hadi 1 kamili asubuhi.

ofisi IPO mbezi ya kimara,makumbusho na Kinyerezi so utachagua wapi ni karibu utaweza kuja ukawahi kazini on time kati ya hizo sehemu nilizokutajia...so kama utakua interested na tayari kufanya kazi muda huo Njoo PM tupange what next...nimeona hapo umesema upo chanika kama upo serious na commited na kazi Njoo PM kuhusu MALAZI nadhani ni jambo la kuongea na kupanga if ur realy serious.

NOTE:

kazi yako itakua ni usiku na sio mchana...."Mchana kuna watu tayari" nakuhitaji wewe ili tuweze run hii kazi 24hrs bila kufunga OFISI muda wote huduma ipatikane kwa kua una uzoefu nadhani utafaa sana.

Janja Janja za wewe kutumia till yako ukija huku sahau...
 
Mwambq umetisha asee ngoja dogo aje apige kazi usimbanie mwache dogo apige mzigo
 
Huuu ndio mwezi wa kwanza kanifukuza kazi yani na kwenye simu TIGO pesa ilikuwa laki 2 mkononi elfu 80 yani kama MTU alikuwa anataka kutoa laki 1 kwenda juu salio hakuna na mshahara Wangu laki 150 lakn mwisho wa mwezi unakalibia kanifukuza kazi juzi aja nilipa hadi Leo na ofisini kaweka mtu mwingine
kwahyo hpa unahisi umejibu swali uliloulizwa?? Umeulizwa kingine umejibu mengine aiseeeeee
 
Kijana onaongea mambo mengi yasiyo hata na msingi..mara meza imetoboka mara vile..ukiwa na shida inabidi ujibu maswali vizuri ili uweze kusaidia

Kuna mkuu mmoja hapo juu kakupa fursa,sasa ni wewe tu
 
Ajuae jinsi ni livyo ni MUNGU dukani nilikuwa nafunga SAA 3:00 na muda huo napata wateja wa kulaza simu charge ndio nipate hela ya kula wasipo charge simu na kaa na njaa uyu mdada alie letwa Leo SAA 1 amesha funga duka KWASASA SINA MBELE WALA NYUMA NISAIDIENI NA HILI JAPO ATA KWA USHAULI NIFANYEJE KULIKO KUNISEMA VIBAYA NISAIDINI WANA JF
hyo dada akifunga saa moja au ata akilala hapo apo wewe inakuhusu nini hadi utuambie?? Loo kwa majibu yako tu kwanza huna uzoefu wa kutosha wa hii kazi japo unaipenda, pili wewe ni bomu.
 
We ni kijana wa kiume, miaka 24 lakini huna userious bado yaani unajua kusoma na kuandika lakini vipo vitu kwenye maisha huelewi vizuri, naomba ujifunze namna ya kuishi dogo.

Unajibu maswali ovyo ovyo tunayokuuliza huyo boss wako ana sababu ya kukutimua.

Dogo watoto wa kike wasio jielewa ndio wanaishi hivo, unaonekana mmbeya mbeya.
Badilika kitabia usaidiwe.
 
Back
Top Bottom