Nahitaji msaada wa kazi ya wakala wa Tigo pesa

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Wana jf habari zenu; naombeni mnisaidia kazi ya uwakala wa tigo pesa, nilifanya kazi kwa mtu ambaye naisi haikuwa bahati yangu kufanya kazi kwake nilijitoa kwa kila kitu matokea yake nimeambulia kufukuzwa kazi kwa maneno ya uongo nilijitoa sana na sasa sina muelekeo kwani mama yangu na mdogo Wangu wananitegemea naandika Uzi huu kwa uchungu sana naitaji msaada ndugu zangu hata kama kunamtu anaitaji kijana wa kazi ya kwenda na kurudi naombeni anitafute 0677423349 naitwa Frank nipo chanika dar es salaam
Nina miaka 24 naombeni msaada hata wa ushauli ndugu zangu
 
ilikuaje frank hadi ukafukuzwa? uliingiza loss au ilikuaje?
 
Bora ingekuwa loss kaka, nilikuwa najituma sana biashara nilikuwa naifanya kwa moyo moja lakin kwa kusikiliza maneno ya watu boss akuchunguza wala kutaka kunisikiliza hata nafasi ya kumwelezea hakutaka akafanya mahesabu kila kitu kipo sawa akanifukuza kazi na mshara Wangu ajanipa
 
dah, pole sana, sorry lakini!
1. ulifanya kazi kwa miezi mingapi?

2. kwa mwezi alikuwa anakulipa kiasi gani na mlikuwa mnaingiza kamisheni jumla bei gani???
 
Kazi uliyo somea n iyo tu uwezi tafuta kazi nyingne
 
dah, pole sana, sorry lakini!
1. ulifanya kazi kwa miezi mingapi?

2. kwa mwezi alikuwa anakulipa kiasi gani na mlikuwa mnaingiza kamisheni jumla bei gani???
Akikujibu unitag
 
Huuu ndio mwezi wa kwanza kanifukuza kazi yani na kwenye simu TIGO pesa ilikuwa laki 2 mkononi elfu 80 yani kama MTU alikuwa anataka kutoa laki 1 kwenda juu salio hakuna na mshahara Wangu laki 150 lakn mwisho wa mwezi unakalibia kanifukuza kazi juzi aja nilipa hadi Leo na ofisini kaweka mtu mwingine
dah, pole sana, sorry lakini!
1. ulifanya kazi kwa miezi mingapi?

2. kwa mwezi alikuwa anakulipa kiasi gani na mlikuwa mnaingiza kamisheni jumla bei gani???
 
Bila shaka aliambiwa ulikuwa na TILL yako ya TIGO pesa, ulikuwa ukiitumia kuhudumia wateja kwa kutumia mtaji wake ili uje upate commision ww, TILL yake ikabaki tu haifanyi kazi na hvo asingepata kitu.

Nadhan iko hvo, kama sio hvo tupatie sababu za yeye kukuondoa wakati hakukuwa na loss
Huuu ndio mwezi wa kwanza kanifukuza kazi yani na kwenye simu TIGO pesa ilikuwa laki 2 mkononi elfu 80 yani kama MTU alikuwa anataka kutoa laki 1 kwenda juu salio hakuna na mshahara Wangu laki 150 lakn mwisho wa mwezi unakalibia kanifukuza kazi juzi aja nilipa hadi Leo na ofisini kaweka mtu mwingine
 
kwa uzoefu wangu, huyo kajihami ili asikulipe maana kamisheni atapata ndogo, sidhani kama mtu anaweza kuingiza kamisheni hata laki 2 tu kwa mtaji huo mdogo uliosema, mimi nina uzoefu na kazi hii
Ame nilipa jioni hii elfu 30 alafu anasema line yake ni vodacom nimeiba
 
Amenilipa jioni hii elfu 30 alafu anasema line yake nimeiba
kwa uzoefu wangu, huyo kajihami ili asikulipe maana kamisheni atapata ndogo, sidhani kama mtu anaweza kuingiza kamisheni hata laki 2 tu kwa mtaji huo mdogo uliosema, mimi nina uzoefu na kazi hii
 
Amenilipa jion hii elfu 30 alafu anasema line yake ya voda nimeiba
Bila shaka aliambiwa ulikuwa na TILL yako ya TIGO pesa, ulikuwa ukiitumia kuhudumia wateja kwa kutumia mtaji wake ili uje upate commision ww, TILL yake ikabaki tu haifanyi kazi na hvo asingepata kitu.

Nadhan iko hvo, kama sio hvo tupatie sababu za yeye kukuondoa wakati hakukuwa na loss
 
Naombeni msaada mama yangu na mdogo Wangu wananitegemea wana jf
 
Back
Top Bottom