Nahitaji msaada na ushauri wenu katika hili

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Nimepatwa na tatizo la kuwa na maumivu au tuseme kitu kama uchovu fulani hivi katikati ya tumbo na kifua.

Mara nyingi hali hii inanitokea wakati wa mchana ninapopumzika katika shughuli zangu.

Nikiwa nafanya kazi za mikono hiyo hali siisikii ila ninapochukua muda kupumzika hasa kukaa kwenye kiti ndio naisikia kiasi kwamba natamani nilale kwa kujinyoosha ambapo hali hiyo hupotea.

Niliwahi kusikia juu ya chembe ya moyo ila sina uhakika na dalili za hicho kitu kinachoitwa chembe ya moyo.

Na kama ni chembe ya moyo, mbona maumivu nyenyewe ni upande wa kulia mwa kifua na sii kushoto?

JamiiForums doctors naomba ushauri/tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahi hospital

Back
Top Bottom