Elison Ndalichako
Member
- Oct 31, 2017
- 34
- 51
Kumbe ukimpoesha fedha mke wa mtu ni kutoa sadaka.
Asanteni
Asanteni
Imgekuwa ni wewe ungehama?Majaribu yalizidi ukiona hivyo
Y for yasMimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa elfu 50 alisema Mama yake anaumwa Sasa ivi anasema anataka kulipa fadhila kuja Kwangu HIO ZAMBI YA MKE SIITAKI NISHAMWAMBIA IYO NIMETOA KAMA SADAKA BADO NIFANYE NJIA GANI
Mgandee mumeweee msaada wangu wa mwishooMimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa elfu 50 alisema Mama yake anaumwa Sasa ivi anasema anataka kulipa fadhila kuja Kwangu HIO ZAMBI YA MKE SIITAKI NISHAMWAMBIA IYO NIMETOA KAMA SADAKA BADO NIFANYE NJIA GANI
Ww akili sharp endelea kuamini hivo. Ukiona mtu kadakwa ujue Bado anautoto kichwani.ni mawazo na akili yako mgando! Watu wanachinjwa,wanapigwa nondo, watu wanachizika,wanamwagiwa tindi kali kisa wake za watu halafu wewe unaleta ngonjera! Haya endelea kuwala.
sawa kila lenye kheri comredWw akili sharp endelea kuamini hivo. Ukiona mtu kadakwa ujue Bado anautoto kichwani.
Ila wewe ni mzembe 😂😂😂😂😂Daaah kweli kabisa hata mimi ujanja wangu wote huu silagi mke wa mtu...
Nakula mashangazi na single maza ila.mke wa mtu naogopa sana
Ila wewe ni mzembe