Toshiba i3, 4gb ram na windows 8 yangu pia ilikuwa inafanya hivyo kila siku .. Nilijaribu CCleaner kusafisha junk files lakini bado ikaendelea. Nilichofanya nilinstall windows 10, nilivyo install nakuupdate drivers (graphics driver), nikaamisha mafile yangu yote kwenye external na nikafanya full format ya pc ilichukua masaa ma 5-kumaliza tokea siku hiyo sijawahi experience hilo tatizo tena.