Hizo kozi zote hazina tofauti kivileee kwasababu zote ziko kwenye tasnia ya biashara.Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.
Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Unasoma ili uajiriwe?Hakuna ajira kusoma ni kupoteza muda
Yote yale yale tu ni sawa kusema Beka na Bakari ni mtu mmoja.Isitoshe ajira hamna soma kuboresha ubongo na ku secure nafasi ya ajira ikijitokeza.Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.
Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Aachane na mambo ya TIA wala asijisumbue kujua hiyo kozi ni kupoteza muda,chuo bado sedoyeka anakibrand ila wapi aende udsmMdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.
Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Hiyo ya UDSM, inaitwa.. Bachelor of Commerce in Banking and Financial Services... Inapatikana school of business. Nashaur aende UDSMMdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.
Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Vp kuhusu koz ya bachelor of economicsHiyo ya UDSM, inaitwa.. Bachelor of Commerce in Banking and Financial Services... Inapatikana school of business. Nashaur aende UDSM
Kama unamsingi mzuri wa uchumi haina tatizo boss, muhimu kujituma sana. Kitu muhimu ni bidii katika masomo na upende unachosoma. Hiyo ipo college of social science kama sijakosea boss. Tulikuwa tuna ungana nao kwenye Account kama kozi. Your warmly welcome UDSMVp kuhusu koz ya bachelor of economics
Niko vzur tu Ila nmepangiwa moshi(ushirika) inaitwa bachelor of economicsKama unamsingi mzuri wa uchumi haina tatizo boss, muhimu kujituma sana. Kitu muhimu ni bidii katika masomo na upende unachosoma. Hiyo ipo college of social science kama sijakosea boss. Tulikuwa tuna ungana nao kwenye Account kama kozi. Your warmly welcome UDSM
Ooh, hongera sana kwako. Kakomae na kitabu kijana. Mungu awe nawe daima katika masomo yako. Muhimu ni kuwa na positive attitude katika masomoNiko vzur tu Ila nmepangiwa moshi(ushirika) inaitwa bachelor of economics