Nahitaji msaada kuhusu kozi hizi

Bob Malik

Senior Member
Oct 1, 2019
121
404
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.

Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
 
Hakuna tofauti yoyote saana kimantiki ila ina picha mbovu kwenye jina.

Public sector accouting maana yake yeye analenga kuja kuajiriwa serikalini tu na sio kwingineko maana public sector accounting ni mambo ya IPSAs.

Kusoma IPSAs peke ni kama nia yako ni kua mfanyakazi wa serikali hadi unastaafu ila kwa mhasibu na ana focus ya mbele asome tu IFRS

Halafu finance serikalini haipo huo ni utapeli, finance iko sana kwenye private sector.

Nashauri asome fani yenye jina general kama accounting and finance ama accounting ama finance peke yake.
 
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.

Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Hizo kozi zote hazina tofauti kivileee kwasababu zote ziko kwenye tasnia ya biashara.
 
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.

Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Yote yale yale tu ni sawa kusema Beka na Bakari ni mtu mmoja.Isitoshe ajira hamna soma kuboresha ubongo na ku secure nafasi ya ajira ikijitokeza.
 
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.

Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Aachane na mambo ya TIA wala asijisumbue kujua hiyo kozi ni kupoteza muda,chuo bado sedoyeka anakibrand ila wapi aende udsm
 
BPSAF unakuwa umebezi serikalini sana, japo hata sekta binafsi unaenda. Advantage yake ni kwamba serikalini unakuwa na ujuzi sana.

Sema si kwamba inatofautiana sana kias kwamba ikupe shida hapana.

Na asijali kama ni TIA ana option ya kuhama course akaenda BAC.

Kila la kheri kwake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta degree za kueleweka mleta mada hizo unajiona kabisa kazi huna kuanzia unapoingia chuo
 
Nenda udsm..ukifika hamia bcom accounting. Hiyo banking ni kupoteza muda wako tu kama huna connection.
 
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.

Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Public Sector Accounting and Finance ina tofauti gan na Bachelor in Accounting and Finance ?
Hiyo ya UDSM, inaitwa.. Bachelor of Commerce in Banking and Financial Services... Inapatikana school of business. Nashaur aende UDSM
 
Vp kuhusu koz ya bachelor of economics
Kama unamsingi mzuri wa uchumi haina tatizo boss, muhimu kujituma sana. Kitu muhimu ni bidii katika masomo na upende unachosoma. Hiyo ipo college of social science kama sijakosea boss. Tulikuwa tuna ungana nao kwenye Account kama kozi. Your warmly welcome UDSM
 
Niko vzur tu Ila nmepangiwa moshi(ushirika) inaitwa bachelor of economics
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom