wakuu nilikuwa nauliza namna kuchagua aina ya starter kwa motor nimepekua pekua na kukuta motor ya kuanzia 1 up to 10Hp naweza ifungia direct online starter but zaidi ya hapo ni vyema nikafunga Star delta Je nachaguaje size ya contactors zangu? kwa dol na star delta na je kwa upande wa change over switch pia nachaguaje ukubwa wa contactors ambazo ntatumia naelewa kuna 220V coil na 380V coil nachaguaje sasa kuanzia ampcity ya contractors?