Franc chaula
Member
- Feb 8, 2013
- 6
- 1
mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo nasomea urban planning,natafuta kibarua chochote ambacho ata ikiwa mbali na ninachosomea ila mradi nipate hela ya kula na kujilipia maitaji yangu ya chuo sababu sikubahatika kupata mkopo,kibarua kipindi cha likizo mwezi wa 2 na mwezi wa 6.