Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 77
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza kunirushia hapa au kunitumia PM. Natanguliza shukurani.
Mshahara ni makubaliano kuendana na ujuzi na uzoefu.tangaza mshahara nikupe contact
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza kunirushia hapa au kunitumia PM. Natanguliza shukurani.
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza kunirushia hapa au kunitumia PM. Natanguliza shukurani.
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza kunirushia hapa au kunitumia PM. Natanguliza shukurani.
Hebu angalia tarehe ya thread mkuu.Waleykhu Msalam.Jina Naitwa David Isaac.Ni Chef Cooker Niliyefanya Kazi Kwenye Hizi Hapa.New Africa Hotel,nextgen Hotel,na Blue Pears Hotel.Nimesoma Kwenye Vyuo Hivi.Veta Vocation Training,na Njuweni Institute .Nimesoma Foodproduction Peke Yake.Nimepika Vyakula Vya Aina Tofauti Tofauti.Namba Zangu Hizi Hapa.0672093703
Kwann ukiacha kazi kwenye hizo hotel na sasa uko mtaani unahangaikaWaleykhu Msalam.Jina Naitwa David Isaac.Ni Chef Cooker Niliyefanya Kazi Kwenye Hizi Hapa.New Africa Hotel,nextgen Hotel,na Blue Pears Hotel.Nimesoma Kwenye Vyuo Hivi.Veta Vocation Training,na Njuweni Institute .Nimesoma Foodproduction Peke Yake.Nimepika Vyakula Vya Aina Tofauti Tofauti.Namba Zangu Hizi Hapa.0672093703
Ndo uamin hali mgumu....Uzi wa 2011 mtu anatuma maombi leoHebu angalia tarehe ya thread mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imemkalia vibayaHebu angalia tarehe ya thread mkuu.