Nahitaji mpenzi wa kike (I need a girlfriend )

alii bomaye

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa miaka 23 niko chuo degree mwaka wa 3 Dar es Salaam. Niko single na ninatafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye mahusiano.Aliyetayari ani PM kwa mawasiliano zaidi
 
Unakaa Mabibo? Kama ni ndiyo hebu nenda hapo Mandela road, kituo cha hostel panda daladala hafi Buguruni Sheli,(nauli 400) shuka vuka upande wa pili, kuna PM inaitwa Kimboka hapo utachagua ww, kama panazingua nenda pale PM ya Sewa bar
 
Mwenzio anahitaji mpenzi, wewe unataka akanunue
 
Unakaa Mabibo? Kama ni ndiyo hebu nenda hapo Mandela road, kituo cha hostel panda daladala hafi Buguruni Sheli,(nauli 400) shuka vuka upande wa pili, kuna PM inaitwa Kimboka hapo utachagua ww, kama panazingua nenda pale PM ya Sewa bar

Duh!!!😃😃
 
Ha ha ha haaa siku hizi wamekuwa rupia ya mkoloni/mwingereza wanasakwa mpk humu mwenye nayo ataibuka na donge nonooo sio...
 
Ngoja uchanguzi uishe bhana Imebaki siku moja tu taifa liwe kwenye ukombozi mpya! Tangazo lako utalileta huku jumatatu! Halafu acha udomo zenge mademu kibao wamejaa huko bongo unashindwa kuwatongoza? Humu huwezi kumpata msichana mwenye umri wa miaka 20 kurudi chini! M pm tatty au charty wana watoto wa kike wakubwa kama una dau la mahari kazi kwako!
 
Last edited by a moderator:
Sasa upo third year unakosa mpenz hapo chuo? Hakuna sehemu nyepesi kupata mpenz kama chuo, jitutumue
 
Ngoja uchanguzi uishe bhana Imebaki siku moja tu taifa liwe kwenye ukombozi mpya! Tangazo lako utalileta huku jumatatu! Halafu acha udomo zenge mademu kibao wamejaa huko bongo unashindwa kuwatongoza? Humu huwezi kumpata msichana mwenye umri wa miaka 20 kurudi chini! M pm tatty au charty wana watoto wa kike wakubwa kama una dau la mahari kazi kwako!

Keh!!uchaguzi tena!!??
 
Last edited by a moderator:
Miaka 23 mwanazuoni bado hauna ujasiri wa kumsimamisha msichana unakuja mtandaoni kutaka madem ambao hujaonana nao waçha kutudhalilisha wanaume
 
hiki kizaz ndicho alichokiacha jk... daah tutamkumbuka sana
 
Wasichana wazuri utawapata ccm. but ukitaka wanywa viroba na wavuta bangi nenda chadema
 
Back
Top Bottom