Nahitaji mpenzi na msaidizi

ID mpya hizi wakongwe mnaamua kujivua magamba, tukiwaambia nyenyekeeni kwa wanaume mkiwa umri mdogo hamsikii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa mahangaiko uliyoyapitia,
Lakini naomba nakushauri kitu kimoja "Punguza expectations tulizonazo kwamba furaha yako italetwa na huyo mwanaume unayemtafuta,
Sawa sikatai ni kweli wenzi wanaweza kuwa sehemu ya furaha yetu, Lakini ni risk kubwa sana kupostpone furaha kwa kuexpect kitu/mtu mwingine aje kutimiza furaha yako.
Anza kuishi sasa, enjoy the moment while you are still single, Jifunze kutafuta furaha yako kwa wewe mwenyewe, ili hapo baadae uweze kueneza furaha yako kwa utakaekuja mpenda.
Ukiingia kwenye mahusiano na expectations kama alizozitaja, alafu ukaja mpata mwanaume akakutreat tofauti na ulivotegemea, amini amini nakwambia utarudi Jf na bandiko lingine la "wanaume ni watu wabaya sana"
Usitafute mwanaume pale unapojihisi una uhitaji wa mwanaume, You will become needy and clingy, matokeo yake you will be taken for granted. Huzuni uliyo nayo ni dalili moja wapo ya kukosa self love, Jipende kwanza ndo utajua kikamilifu jinsi ya kumpenda unayemtafuta.
Ishi sasa. Enjoy the moment.
Ishi sasa,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…