Nahitaji mpenzi na msaidizi

Kuhusu hilo sijui[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa ndio hiyo ninayo kwambia, kwamba hawako serious na wanachokisema.

Ni kama vile wanawatega watu, na ndio maana kuna mmoja hapa ametoa angalizo kuwa vijana wawe makini, kwa sababu hiyo ni ID mpya.

Mimi ombi langu ni kwamba, wadada muwe serious na wala tusitegane, sio poa.

Kama kweli upo serious, onyesha u serious!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekusikia nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitafuta mchumba udondoshe tangazo kwenye wall yangu.
 
Mkuu inaonyesha una hasira sana ishakutokea Mara ngapi kupotezewa?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…