Nahitaji mpenzi na msaidizi

Kwani mtu Kua mgeni na new ID nikosa?? Mi nawashanga vijana wa jf. Utathani hiki ni kikoba kwamba wageni hawawezi ku comment sijui.
That's being selfish.

Alafu wengine wanaume wanasema kwamba niwachache mbona nanyie mnatafta humu wanawake. Does it mean wanawake ni wachache.

My take some of you guys should stop criticizing each and everything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmhh naww unahitaji au Tatar unae maaana n kweli wanaume wachache wanawake mko weng
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaana awe mpnz pia houseboy!
 
Kwa uwelewa wangu mdogo hakuna mwanamke aliyekulia katika maisha ya shida mjini akawa wife material..

Ishu ni kuwa town wahuni wengi na hawakiachi salama.

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…