Unapatikana wapi? Kama upo Serious kweli kama mimi njoo PM tuyajenge.Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.
Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
I can feel youNahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.
Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye tu mzee baba,wanawake wa jf ni vibungo balaa!!
Yani mwanamke mzuri kabisa anaejielewa,atafute mpenz mtandaoni?New ID vijana muwe makini
[emoji23][emoji23][emoji23] hata Mimi kibungoJidanganye tu mzee baba,wanawake wa jf ni vibungo balaa!!
Kama upo poa njoo[emoji23][emoji23][emoji23] hata Mimi kibungo