Mkuu hayo mambo yapo tangia enzi na enzi, haujawahi kusikia kitu kinaitwa Pen Pal? sie miaka ya mid 90s enzi internet inaingia tulikuwa tunaoingia online megafriends kutafuta friends ,ukiingia mule mademu kibao wanatafuta wapenzi...kwahiyo hii kitu sio kipya ni cha zamani sana.