Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

Si tatizo sana umri ila wengi 25..27 wanashida sana naprefer watu wazima au aliyewahi kuoa kabisa ila mgane.
Kama una rangi ya mtume, una umbo namba 8/6, sura ya mdoli, tabia njema, mvumilivu, Mcha Mungu, mwenye maadili, mtii na mnyenyekevu, Mkatoliki mwenye imani thabiti, nk.

Nitafute haraka ili ufaidi mema ya Nchi!
 
Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano

Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.

Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40.
Awe christian.
Mbona hujaweka vigezo vingine mfano urefu, kifua six park, awe na gari, awe na kazi gani, asiwe mweusi sana, awe hajawahi kuwa na mke wala mtoto, nk.
Au hakuna vigezo kama hivyo ili na mimi muuza majeneza nijaribu bahati yangu ?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…