Wapendwa wa jamvini nahitaji mwenye movie za action , zombie vampire...anayepatikana dar es salaam nimtafute mda ambao hana kazi yaani atakuwa free anipatie movie .
Namba yangu ya simu ni hii hapa 0716805201. Pia tunaweza kufanya exchange za movie pia nilizonazo kwenye pc yangu. Napatikana kigamboni..dar es salaam. Shukrani.