Rajabu Msechu
Member
- Apr 13, 2016
- 35
- 18
Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, mwenye moderm ya Halotel ambayo ipo kwenye hali nzuri anijulishe mara moja.
Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
Binafsi ndo natumia hapa wakati huu.tumia smart phone tethering teknolojia ya kubeba mizigo ya modem imepitwa na wakati
ndo biashara yenyewe ilipo hapo mkuuUtajuta bando bei nafuu lakini mb nashanga zinayeyuka upesi si mchezo
sidhani kama kuna smartphone isioweza kutether, feature phone zenyewe nazo baadhi zinawezaBinafsi ndo natumia hapa wakati huu.
NOTE: Only in android phones only is this possible.
kwanini unajifungia? tafuta modem/router ambayo ni universal, utatumia line zote, na modem unlocked na hizo za mitandao bei ni zile zile,Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, mwenye moderm ya Halotel ambayo ipo kwenye hali nzuri anijulishe mara moja.
Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
ndo nini hicho mkuutumia smart phone tethering teknolojia ya kubeba mizigo ya modem imepitwa na wakati
mkuu ninashida na wewe pm yako naona haikubalikwanini unajifungia? tafuta modem/router ambayo ni universal, utatumia line zote, na modem unlocked na hizo za mitandao bei ni zile zile,
labda tatizo lipo kwako, mimi napokeamkuu ninashida na wewe pm yako naona haikubali
Hivi CHIEF MKWAWA hii kutumia simu nahisi kama inahalibu sana waya wa usb. Pamoja na system charge ya simu? Au pc yangu ndo tu inamatatizo. Mana nilikuwa na simu ya kwanza tangu nilivoanza kutether, ikaanza kuchagua charge, hatimae na yenyew ikafa system charge. Nikanunua simu ya pili na yenyewe haikuchukua mda nilivokuwa tu natumia kwenye pc pia waya wake wa usb ukafa pia. Ni kawaida au pc yangu ina problem.labda tatizo lipo kwako, mimi napokea