Wadau wa tech hii mitandao ya simu imekuwa wanyonyaji sana kwenye suala la vifurushi vya intanet.
Nahitaji kujua kama kuna any portable wireless device ambayo itanisaidia kupata a strong wireless connection km inayopatikana maofisini, na hiyo device iwe inaweza kubebeka km power bank hivi
Kama zipo kwa anaejua anijuze mm kuhusu upatikanaji wake,uwezo wake na bei zake
Jijajua hapa unalengo lipi maana ISP ni walewale viwango vile vile, anyway jaribu kitufuta hii [h=1]Wifi 3G Router PowerBank kama zinapatikana madukani huenda ikakusaidia[/h]
Wadau wa tech hii mitandao ya simu imekuwa wanyonyaji sana kwenye suala la vifurushi vya intanet.
Nahitaji kujua kama kuna any portable wireless device ambayo itanisaidia kupata a strong wireless connection km inayopatikana maofisini, na hiyo device iwe inaweza kubebeka km power bank hivi
Kama zipo kwa anaejua anijuze mm kuhusu upatikanaji wake,uwezo wake na bei zake
ymollel hzo router za SMILE zipo locked mtandao au naweza ibadili kuwa universal?
Thanks nitapitiaHizi zipo locked kwa mtandao wao. Sidhani kama inafaa kuUnlock. Ingawa unaweza kutembelea mitandao kama vile www.jumia.co.tz. Kuna za huawei za universal na bei almost zinalingana