Alafu huu mchezo wa text za mitandao wa kishenzi sana, always wana wrong timing hawa jamaa. Unakuta upo kiroho juu unasubiri utumiwe text na mtu...ikiingia tu vibration unatamani kurusha simu. Afu kitu GAWIO la TigoPesa Tsh 250.
Wivu hunaaa, lakini roho inakuumaje!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:! Kula hutaki na hutaki wenzio wale vile vile! Hahahahaaaa! Toa namba hapo (you never know na kina sie tunaweza kuichukua! expect the unexpected!)
tel ze trus,
kama si problem
ya uume wangu kusimama
mara kwa mara ningekutafta
lakini aibu
hapa tayari ishasimama
Subiria kujibiwa eti umekosa namba yake ya simu!Kitu gani? Nakusikiliza.
Subiria kujibiwa eti umekosa namba yake ya simu!
Namba yangu ya simu.Kitu gani? Nakusikiliza.
Watu wengine viherehere...Subiria kujibiwa eti umekosa namba yake ya simu!
Namba yangu ya simu.
Mwanamke aibu bhana. Usihofu pitia kwa Prime Minister..Nipe basi maana mi nilikuwa naona aibu kuiomba.:tape2:
Hellow nakusubiri ofisi ya PM..Nipe basi maana mi nilikuwa naona aibu kuiomba.:tape2:
Hellow nakusubiri ofisi ya PM..