Nahitaji mkopo wa piki piki.

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Wakuu Nawasalimu
Kama nilivyo ainisha hapo juu, nahitaji piki piki kwaajili ya shughuli zangu za kilimo na Ufigaji.
Kilingana na eneo ninalofunyia shughuli hizi kua mbali na makzi yangu, usafiri umekua ni changamoto sana, kitu kinachopelekea ufanisi wa shughuli zangu kutokwenda kwa kasi/Viwango ninavyotaka mimi.
Hivyo nikaona ebu nitafte njia mbadala yakukabiliana na Hiki ki kwazo.
Nipo Moshi kwa atakae kua tayari kunikopesha au kunipa njia mbadala ya kupata huu usafiri anicheki pm kwa maelewano zaidi.!
Asante
 

Nauza fekon power 150 iko vzr sana mkuu. Bei laki 9 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…