Nahitaji Mkopo wa Milioni Mbili kwa Riba

Nahitaji Mkopo wa Milioni Mbili kwa Riba

mdoghosho

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
969
Reaction score
1,393
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
 
yani kipindi hichi mtu hata 90,000 mtu ni mtihani kukulipa....
 
Kama kuna Gari iko vizuri inapaki kwenye yard yetu unapewa mzigo
 
Wakuu, kama heading inavyojieleza....
Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba...
It's Urgent, please I need your help...
Acha ujinga ww hujui riba ni zambi nenda sinza utapata kwani ndio maisha yao ya kukopa navkukopesha kwa riba na ndiomana hawaendelei kabisa simza shetani huzunguka kwa vijana
 
Back
Top Bottom