Nahitaji mkopo wa Milion 13.

Nahitaji mkopo wa Milion 13.

carlerion

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Hi habari zenu wana JF.
Nina shida very imediately ya Milion 13 pesa itarudishwa ndani ya mda mfupi pamoja na riba kama itahitajika ni very urgently situation..i have tried to go to some financial institutions but wanahitaji uwe na biashara na some bank statements za biashara.. Wakati kwa upande wangu sina biashara ila nina my own house ambayo nahitaji kuiweka dhamana kwa kipindi chote cha mkopo huo my house iko mbezi beach waungwana na nina uhitaji wa haraka juu ya hii pesa so kwa yeyote ambaye anaweza kunipa msaada huu imediately please anijulishe....utaratibu utafata all tjr legal procedures za kisheria na kuthibitishwa kwa kila nyaraka pande zote mbili ili tuwe secured please i will be able to pay reasonable interest rate as the cost of money i took..please naomba kwa aliyeserious kunipa support ani PM tafadhali..
 
Hapa unapoteza muda tu, hata kama utaendelea kusubiri miaka elfu 1 ijayo hatapatikana mtu wa kukupa hiyo amount. Mimi ningekukopesha ila kuna Mwana JF kama wewe nilimkopesha kiasi cha fedha akaahidi kama wewe kuwa atalipa ndani ya wiki 2 pamoja na riba na tukaandikishana lakini leo imepita miezi 4 kapotea! Binandamu hawaaminiki tena miaka hii, ila najua yumo humu sasa ajiandae dawa yake inachemka jikoni. Alidhani ningetumia Mahakama kudai hela zangu lakini kwa Mahakama na Sheria zetu hizi za ki.senge mimi sitafungua kesi ila nimeshapata njia mbadala ambayo nitamfundisha somo ambalo hatalisahau kamwe maishani mwake! BTW: Kama una hati kwanini usiende Benki kukopa? Nyumba iliyoko Mbezi kwa kiasi hicho cha fedha ni sawa na unachukua hela ya nyanya tu, wewe tembelea Benki mbili tatu lazima utapata. Kama unaziogopa Benki basi I am sorry to tell you that probably you are among the bandits who play such stupid games! Kila la kheri anyway!
 
BTW:Kama una hati kwanini usiende Benki kukopa? Nyumba iliyoko Mbezi kwa kiasi hicho cha fedha ni sawa na unachukua hela ya nyanya tu, wewe tembelea Benki mbili tatu lazima utapata. Kama unaziogopa Benki basi I am sorry to tell you that probably you are among the bandits who play such stupid games! Kila la kheri anyway!

Japo ha sound kama mtu mwenye nyumba mbezi beach, niongezee kwenye ushauri wako

Asiingie makubaliano na mwana jf yeyote asiyemfaham. Kuna mapedeshee ndio dili zao hizi mtasaini kisheria na nyumba itaondoka
 
Okey thts good opinion of yours but pia pole kwa huyo mtu aliyekufanyia hivyo but hope haukuweka all the things legally and officially nadhan hamkuandikishana na hakukuwa na gurantor hapo wala mwanasheria thts why....upande wa pili hop i told you benk karibu nyingi nilizokwenda hawakopeshi kwa kuwa na hati tu ni lazima uwe na biashara na it take some time kuprocess maombi ya wengi na as i told u ni urgnt issue ndugu
 
Tafadhali ndugu zangu and please sijapost hiyo post kwa any bad intetion i post the reality and the real situation i am facing basing on my financial problem so please whoever trying to give out opinions or comment let it be basing on logical facts and researched please coz its seems some people your posting jokes which are not basing on reality please kama wewe uliyesema nenda benk mbili tatu nakushauri uende kwanza alafu ucoment ukirud business procedures basing on issuing of loans haziko as you think so please comment or help on positive way unless otherwise u have ur own negative perspective sory coz u have ruin my mood guys coz of such habit
 
Okey thts good opinion of yours but pia pole kwa huyo mtu aliyekufanyia hivyo but hope haukuweka all the things legally and officially nadhan hamkuandikishana na hakukuwa na gurantor hapo wala mwanasheria thts why....upande wa pili hop i told you benk karibu nyingi nilizokwenda hawakopeshi kwa kuwa na hati tu ni lazima uwe na biashara na it take some time kuprocess maombi ya wengi na as i told u ni urgnt issue ndugu
Hayo uliyosema hapo kwenye bold una uhakika nayo au unakurupuka ku-generalize tu mambo usiyoyajua?
 
If yes then u should claim for what is right and is your rights you cant abuse vyombo vya sheria
 
carelion Hebu jaribu kwenda CRDB.Mimi ni mteja wao nilishawahi kusikia wanatoa mkopo wa kilimo (Agricultural loan).Unajifanya mkulima then unawaeleza una shamba lako mkoani then wanakupa.Ila hiyo nimeisikia huku Arusha (Kama vipi nitafute kwny PM nikupe Loan Officer wa hapa CRDB Meru Branch - Arusha akupe maelezo zaidi)
 
Nakukopesha milioni 13 mbele ya mashahidi wote wa jf utarudisha million 26 baada ya mwaka OK?
 
If
yes then u should
claim for what is right and is your rights you cant abuse vyombo vya
sheria
kumbuka huo mchezo ndio uliwatoa kina papa musofe na majambazi wengine
kama akina alex massawe ulikua ukiweka nyumba rehani basi na roho yako
iko rehani at any tym lazima ukaungane na babu zako,so be care mtu mwenye fedha huwa na nguvu pia juu ya sheria
 
Okey thts good opinion of yours but pia pole kwa huyo mtu aliyekufanyia hivyo but hope haukuweka all the things legally and officially nadhan hamkuandikishana na hakukuwa na gurantor hapo wala mwanasheria thts why....upande wa pili hop i told you benk karibu nyingi nilizokwenda hawakopeshi kwa kuwa na hati tu ni lazima uwe na biashara na it take some time kuprocess maombi ya wengi na as i told u ni urgnt issue ndugu

Ni kweli ulichokiandika! Benki hazikopeshi dhamana kama wanasiasa wanavyodanganya watu.
 
Hapa unapoteza muda tu, hata kama utaendelea kusubiri miaka elfu 1 ijayo hatapatikana mtu wa kukupa hiyo amount. Mimi ningekukopesha ila kuna Mwana JF kama wewe nilimkopesha kiasi cha fedha akaahidi kama wewe kuwa atalipa ndani ya wiki 2 pamoja na riba na tukaandikishana lakini leo imepita miezi 4 kapotea! Binandamu hawaaminiki tena miaka hii, ila najua yumo humu sasa ajiandae dawa yake inachemka jikoni. Alidhani ningetumia Mahakama kudai hela zangu lakini kwa Mahakama na Sheria zetu hizi za ki.senge mimi sitafungua kesi ila nimeshapata njia mbadala ambayo nitamfundisha somo ambalo hatalisahau kamwe maishani mwake! BTW: Kama una hati kwanini usiende Benki kukopa? Nyumba iliyoko Mbezi kwa kiasi hicho cha fedha ni sawa na unachukua hela ya nyanya tu, wewe tembelea Benki mbili tatu lazima utapata. Kama unaziogopa Benki basi I am sorry to tell you that probably you are among the bandits who play such stupid games! Kila la kheri anyway!

vitisho vyako mkuu ni kosa kisheria unaweza ukaingia hatiani na kujikuta upo ndani ya kuta za segerea huku mwenyewe haujui umefikafikaje
umetishia maisha kosa kwenye katiba hii tunayotumia
 
Wakuu thnks for the advice but huyooo wa interest za m26 siziwezi mkuu
 
Wakuu thnks for the advice but huyooo wa interest za m26 siziwezi mkuu

kuna jamaa zangu wanajishughurisha na mikopo ngoja nifanye mawasiliano nao kama unameet demand zao nitakujurisha baadaye au kesho.
 
Back
Top Bottom